Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.
Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.
Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.
Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.
Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.
Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.
Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.
Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.