Rais Samia ni jasiri asiyeogopa kuusema ukweli na amedhamiria kutaka kuona Watanzania wanatendewa Haki katika uongozi wake

Misemo ya kuiga kwa Kennedy unaleta nchi ya kusadikika unafikiri inafanya kazi basi, ukiifanyia kazi nchi yako wenzako wanaiba wanapeleka China, huo moyo utapata wapi kikubwa jifanyie kazi mwenyewe na familia yako ila kama ndio tafsiri ya kuifanyia pia nchi basi ni win win situation
Hakuna ushujaa katika kuiibia na kuihujumu nchi yako,Yeyote atakayebainika kufanya vitendo hivyo tunaamini hatabaki salama katika uongozi wa Rais Samia ikiwa atabainika na kupatikana ushahidi
 
Misemo ya kuiga kwa Kennedy unaleta nchi ya kusadikika unafikiri inafanya kazi basi, ukiifanyia kazi nchi yako wenzako wanaiba wanapeleka China, huo moyo utapata wapi kikubwa jifanyie kazi mwenyewe na familia yako ila kama ndio tafsiri ya kuifanyia pia nchi basi ni win win situation
Hakuna ushujaa katika kuiibia na kuihujumu nchi yako,Yeyote atakayebainika kufanya vitendo hivyo tunaamini hatabaki salama katika uongozi wa Rais Samia ikiwa atabainika na kupatikana ushah
Ni sawa, ila nina swali hapo mwisho unavyomalizia. Huwa unaandika majina kamili na namba ya simu vya nini?
Unarahisisha kwenye uteuzi? maana kama kusifia umemaliza yote, hata chawa wanasubiri.
OMba hata Katiba mpya basi Lucas mwashambwa
Masuala ya katiba mpya yapo kwenye mchakato Kama ilivyopendekezwa na kikosi kazi
 
Hana uadilifu wowote isipokuwa unafiq.
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.

Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.

Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.

Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.

Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.

Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.

Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
n
 
Kuna watu walikuwa wanaongea hivi hivi wakati wa magu

Maneno kama hayo, tofaut hapo ni jina tu, ww umeweka mama Samia wao waliweka Magu

Ila ujumbe ni huo huo

Tabia za viongozi wa Africa zinafanana Sana

Mama Samia akiondoka pale utashangaa mambo ambayo utayasikia alifanya, hautoamini
 
Haya hata magu alisema na alifanya, tena mpaka akaenda mwenyewe gerezani na kuwatoa watu ambao walisingiziwa kesi

Yan viongozi wa Africa nakwambia wanafanana kila kitu, tofaut ni wakati tu
Magu aliruhusu Vyombo vya dola Kuiba na kunyanyasa
 
Hizo ni habari za mtaan,

Hakuna uhakika wowote kuwa magu waliwaambia vyombo vya Dola waibe au kunyanyasa

Vyombo vya Dola vya Africa viko hivyo

Unakumbuka what happen Kwa Daudi Mwangosi?

Ilikuwa ni wakati wa magu ule? Au na wale walitumwa na magu ?

Case ya mbowe unakumbuka? How do you call it?

Hii ndio africa
 
Rais Samia Ndio kiongozi mwenye ushawishi Barani Afrika kutokana na utendaji kazi wake uliotukuka

Lucas Bwana,

Sometimes unafikilisha Sana kama unachoandika unamaanisha au unaongea kinyume chake
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.

Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.

Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.

Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.

Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.

Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.

Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Huwezi kuwa na uchaguzi wakubeba chama fulani ukawa na haki sehem nyingine. Akamuulize Dr SheIn kule ZNZ... Pale aliwaachia Cuf wale ghwala nankile kilitokea.
 
Ha ha 🤣☺️🤣 we jamaa uwa unasoma unachokiandika?
Lazima tujivunie kupata Rais wa namna hii ambaye nchi mbalimbali Barani Afrika zinatamani angekuwa Rais wao na kuzaliwa kwao ili awatumikie Kama anavyotutumikia watanzania
 
Au sio ha ha ha 🤣 Inchi mbalimbali za Africa uwa zinataka zitawaliwe na Marais wa tanzania

Kwa utendaji wao Bora
 
Attachments

  • Screenshot_20230202-071511_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230202-071511_Samsung Internet.jpg
    199.9 KB · Views: 10
  • Screenshot_20230202-071642_Samsung Internet.jpg
    Screenshot_20230202-071642_Samsung Internet.jpg
    243.5 KB · Views: 10
Uzalendo unaujua ww kaleta mabehew mtumba ndio uzalendo huo
kapandisha bei umeme wa rea ndio uzalendo huo
sabuni ameondoka jpm ilikua elf mbil leo tunanunua elfu tatu ndio uzalendo huo
Ameingiya mradi ww jpp ulikua asiliamia 57 leo wanasema ni37 uzalendo uo usinichefue
Samia ni mzalendo na siyo dhalimu kama yule mwingine. Kama hutaki hamia Burundi
 
Back
Top Bottom