Rais Samia ni jasiri asiyeogopa kuusema ukweli na amedhamiria kutaka kuona Watanzania wanatendewa Haki katika uongozi wake

Ukiachilia mbali madhaifu madogo madogo ya chief ambayo kiongozi yeyote anaweza kuwa nayo, huyu mama anapenda haki.

Pia ukitazama kwa jicho Kali wengi wanao mdis mama Wana roho za kikatili na za uonevu kwa wengine na wasiopenda haki.

Jichunguze.
 
Au sio ha ha ha [emoji1787] Inchi mbalimbali za Africa uwa zinataka zitawaliwe na Marais wa tanzania

Kwa utendaji wao Bora
Nyumba husiyo lala huwezi jua kunguni wake.
 
Mbona hakuusema huo ukweli wakati ule matukio yalipokuwa yanatendeka?
Nawaombeni watanzania tumhukumu Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania kwa mambo yale tu yaliyotokea na kutendeka katika uongozi wake tu na siyo kuanza habari za wakati siyo Rais ,
 
Mh. Lissu alijaribu kusema ukweli na wote tunajua kilichompata
Lisu mwenyewe kwa Sasa anasubiri uchaguzi ufike haraka ili akapange foleni kumpigia kura ya Urais Rais wetu shupavu na shujaa mama samia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.

Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.

Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.

Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.

Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.

Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.

Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
chawa sasa namba ya simu ya nini mbona ukiandika utopolo hauweki no.
images-19.jpg
 
Kwa Tz ni jambo la kawaida Rais aliyechukua madaraka Kwa mwenzake,kumsema aliyeondoka....... subiria Rais wa 7 tukiwa hai,atamponda vibaya Samia.

NB:Tusishangilie sana, tukumbuke hawa walikuwa pamoja na wanatoka chama kimoja na katika moja ya hotuba zake Samia alisema wao ni damu damu.......tuwe na subira kidogo
 
Acha tuungane kidogo ktk hili maana linaukweli mwingi. Ingawa ukiwananga CHADEMA tu nakuepuka kama ukoma. Huyu mama ameponya majeraha ya wengi. Hiyo ndiyo tofauti kati ya mtu mwenye hofu ya Mungu kweli, na yule aliyekuwa anasema majukwaani, nanukuu "ndg zangu tumtangulize mwenyezi Mungu" akishaondoka jukwaani anakuwa amesahau alichokisema, na anatangulia yeye, mwenyezi Mungu anamwacha nyuma.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.

Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.

Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.

Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.

Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.

Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.

Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Wanafiki wakubwa. Chama kimejaa majizi, hachukui hatua kuna uzalendo gani?. Watu chawa kama ninyi hata uongozi hamfai maana sio kwa kujipendekeza huku.
 
Mimi naandika ukweli tu
Wanafiki wakubwa. Chama kimejaa majizi, hachukui hatua kuna uzalendo gani?. Watu chawa kama ninyi hata uongozi hamfai maana sio kwa kujipendekeza huku.
 
Mabehewa yaliokotwa awamu ya tano ya JPM.

Kupandisha bei ya umeme ni kawaida kwani umeme wenyewe upatikanaji wake ni gharama kubwa na hakuna bure maishani.

Kupanda bei ya bidhaa kunategemea na sababu nyingi za kibiashara hivyo hakuepukiki.

Ni rais muwazi kwa anaowangoza, hatumii nguvu nyingi kutafuta kupendwa na anaowaongoza. Na anapokea mawazo tofauti hivyo ni rais msikivu.
Wewe ni chawa wake tu maana mwenyewe Samia kaisha sema kuwa kuna chawa wake uku mtaani,kama hatumii nguvu kupendwa Ndugai na akina Polepole walifanywaje katika kutoa maoni yao,wangapi wamefukuzwa kazi katika kutoa maoni yao?Yeye mwenyewe aliwahi sema tena mbele ya mikutano ya wandishi wa habari kuwa ukimparua nae anakuparua hadi ngozi laki ukimpuliza naye hatakupuliza hadi usikie raha'.Unajua undani hii kauli?
 
Kazi kubwa alizozifanya mh Rais katika nchi yetu zinajionyesha na kujitetea zenyewe hata kwa vipofu,Kila utakako kwenda unaona mikono ya Rais samia
 
Wewe ni chawa wake tu maana mwenyewe Samia kaisha sema kuwa kuna chawa wake uku mtaani,kama hatumii nguvu kupendwa Ndugai na akina Polepole walifanywaje katika kutoa maoni yao,wangapi wamefukuzwa kazi katika kutoa maoni yao?Yeye mwenyewe aliwahi sema tena mbele ya mikutano ya wandishi wa habari kuwa ukimparua nae anakuparua hadi ngozi laki ukimpuliza naye hatakupuliza hadi usikie raha'.Unajua undani hii kauli?
Kazi kubwa alizozifanya mh Rais katika nchi yetu zinajionyesha na kujitetea zenyewe hata kwa vipofu,Kila utakako kwenda unaona mikono ya Rais samia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.

Ndio maana anasema ukweli bila uoga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.

Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.

Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.

Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.

Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.

Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.

Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.

Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Sawa namba huwa mnaweka kwa malengo gani?
 
Wewe ni chawa wake tu maana mwenyewe Samia kaisha sema kuwa kuna chawa wake uku mtaani,kama hatumii nguvu kupendwa Ndugai na akina Polepole walifanywaje katika kutoa maoni yao,wangapi wamefukuzwa kazi katika kutoa maoni yao?Yeye mwenyewe aliwahi sema tena mbele ya mikutano ya wandishi wa habari kuwa ukimparua nae anakuparua hadi ngozi laki ukimpuliza naye hatakupuliza hadi usikie raha'.Unajua undani hii kauli?
Mkuu huo uchawa ni maneno yaliyoanzia humu humu na yana msingi wa chuki na hasira, SSH na yeye yumo humo hivyo sio ajabu kuwa na fikra kama za humu.

Kama angekuwa anatumia nguvu kupendwa usingeona Lissu anahutubia mkutano wa hadhara na anaongea kama anavyoongea,a Samia haogopi kupokea maoni tofauti na yale ya serikali.

Mbowe akaenda ikulu na kufanya mkutano na rais na amekuwa akiwashirikisha viongozi wa upinzani mara kwa mara kwenye shughuli za kiserikali. Haya mambo hukuyaona awamu yote ya tano.

JPM alitumia mbinu za miaka ya Nyerere za kuwashughulikia wapinzani kiharamia kwa bahati mbaya akakosa unyenyekevu akiongozwa na kiburi kilichopitiliza.

Samia hana kiburi kilichomzidi kichwa, anautanguliza ubinadamu katika mahusiano yake ya kikazi.
 
Bei za kuunganisha umeme zinaendelea Kama kawaida kulingana na eneo ulilopo,miradi ya kimkakati inaendelea kwa Kasi na fedha zinaendelea kutolewa kwa ajili ya kuikamilisha
Umesikia ya kule Ardhi?
 
Back
Top Bottom