Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Nafasi tatu za udc zipo wazi....kazaneni chawaNdugu zangu watanzania,
Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali ,ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka,ndio maana anasema ukweli bila uonga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia,hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani,wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake. Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.
Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania. Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.
Moyo wa Rais Samia Ni msafi,matendo na kauli zake Ni Safi,mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania, Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.
Kazi Iendeleee ,mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Ni kweli naunga mkono hojaNdugu zangu watanzania,

Uko sahihi kbsNdugu zangu watanzania,

Mabehewa yaliokotwa awamu ya tano ya JPM.Uzalendo unaujua ww kaleta mabehew mtumba ndio uzalendo huo
kapandisha bei umeme wa rea ndio uzalendo huo
sabuni ameondoka jpm ilikua elf mbil leo tunanunua elfu tatu ndio uzalendo huo
Ameingiya mradi ww jpp ulikua asiliamia 57 leo wanasema ni37 uzalendo uo usinichefue
Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi ndugu yanguNafasi tatu za udc zipo wazi....kazaneni chawa
Bei za kuunganisha umeme zinaendelea Kama kawaida kulingana na eneo ulilopo,miradi ya kimkakati inaendelea kwa Kasi na fedha zinaendelea kutolewa kwa ajili ya kuikamilishaUzalendo unaujua ww kaleta mabehew mtumba ndio uzalendo huo
kapandisha bei umeme wa rea ndio uzalendo huo
sabuni ameondoka jpm ilikua elf mbil leo tunanunua elfu tatu ndio uzalendo huo
Ameingiya mradi ww jpp ulikua asiliamia 57 leo wanasema ni37 uzalendo uo usinichefue
Sasa si uombe mapema hiyo nafasi ili upunguze uchawa wako humu jukwaani?Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi ndugu yangu
Usijiulize Tanzania itakufanyia Nini Bali jiulize utaifanyia Nini TanzaniaSasa si uombe mapema hiyo nafasi ili upunguze uchawa wako humu jukwaani?
Mama amesha onyesha uwezo mkubwa Sana wa kiuongozi ,ameonyesha dhamira yake katika kulitumikia Taifa hili na kulipekeka mbele kimaendeleoNgoja tuone
Rais SSH ana moyo wa Mama halisi.Hataki maumivu yake ya utotoni aliyokuwa nayo yahamie kwa wengine.Hasa Kwa kunyoshea mkono Vyombo vya dola na kutoa Haki View attachment 2502449View attachment 2502450
Misemo ya kuiga kwa Kennedy unaleta nchi ya kusadikika unafikiri inafanya kazi basi, ukiifanyia kazi nchi yako wenzako wanaiba wanapeleka China, huo moyo utapata wapi kikubwa jifanyie kazi mwenyewe na familia yako ila kama ndio tafsiri ya kuifanyia pia nchi basi ni win win situationUsijiulize Tanzania itakufanyia Nini Bali jiulize utaifanyia Nini Tanzania
Asisahau na Katiba Mpya vinginevyo Magufuli mwingine anakujaNdugu zangu Watanzania,
Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamiria na mwenye kiu ya kutaka kuona watanzania wanatendewa haki kila mahali, ana kiu ya kutaka kuona hakuna mtanzania anayelizwa au kuonewa na Mtumishi yeyote wa umma au kiongozi yeyote mwenye mamlaka.
Ndio maana anasema ukweli bila uonga Wala hofu mahali penye uonevu au changamoto kwa watanzania ili wahusika wajirekebisha kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.
Ndio maana waliozoea na wanaopenda kudanganya au kuwadanganya watanzania wanakuwa wanashangaa ujasiri alionao Rais Samia, hawapendi kuona Rais Samia akiusema ukweli hadharani, wanatamani kuona watanzania wanadanganywa na kufichwa Ukweli Jambo ambalo Rais Samia haliwezi kulifanya kutokana na ucha Mungu wake na kujawa na hofu ya Mwenyezi Mungu katika kifua chake.
Rais Samia Ni muadilifu Sana ndio maana anataka kuona kila mtu mwenye dhamana ya uongozi anatekeleza wajibu wake kwa uadilifu na weledi wa Hali ya juu katika kuwahudumia watanzania.
Rais Samia hataki kuongoza Taifa Ambalo linabubujika machozi kwa uonevu,Hataki jasho la mtu liliwe na wachache ,Hataki dhuluma kwa mtu, hataki uonevu ushamiri nchini,Hataki kupanda mbegu ya chuki kwenye mioyo ya watanzania,Anataka haki kila mahali itakayo chochea upendo na furaha katika mioyo ya watanzania.
Ndio sababu ya Kuendelea kuaminika na watanzania na kuungwa mkono na kila mpenda Haki na maendeleo,Ndio sababu ya Kuendelea kuziteka hisia za mamilioni ya watanzania wanaoendelea kuridhishwa na utendaji kazi wake Rais wetu.
Moyo wa Rais Samia Ni msafi, matendo na kauli zake Ni Safi, mikono ya Rais Samia Ni misafi ndio sababu ya kupata baraka na kufanikiwa kiutendaji kila anapogusa na kila analolifanya linakubalika na kuungwa mkono na watanzania.
Ndio sababu kila analolitamka linapokelewa na watanzania kwa mikono miwili,Ndio sababu Taifa linaendelea kuwa lenye amani na utulivu kwa kuwa Rais wetu amepewa kibali na Mwenyezi MUNGU kutuongoza watanzania na kutuvusha katika mawimbi na dhoruba za aina yoyote Ile.