The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 Jan 6, 2022 #1 Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.
Kwa mujibu wa Takwimu rasmi kutoka Kenya Bureau of Statistics,Tanzania imeweka historian ya kurekodi mauzo mengi zaidi kuliko ilivyonunua kutoka Kenya. Hii ni baada ya miezi 9 tuu toka mama SSH awe Rais wa JMT.Hongera Sana na kongole nyingi kwa SSH.