Rais Samia ni kiboko ya wasiojulikana, toka ameingia wanaharakati wanapata usingizi

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.

Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa nyumbani.

Maana kipindi kile muda wote tulikua tunaishi kwa hofu tu masaa 24 maana wasiojulikana walikuwepo wakiteka watu.

Samia ni mfano wa mwokozi aliyetumwa kuja kuikoa nchi ambayo ilikua inaenda kuzama miaka michache ijayo huyu mama Mungu amuweke ndugu zangu natamani asibadilike awe hivi hivi.

Humu wenyewe ni mashahidi humu JF mambo yalikua magumu sana ilikua ni hatari hata kumpa tu namba humu ukihofia wasiojulikana lakini sahivi at least kidogo japo bado siwashauri lakini tuendelee kuishi katika ID zetu hizi hadi nchi itakapokua ya kidemokrasia kabisa hapo ndo tutakua verified.

Mungu ambariki Mama Samia tuliishi kama mashetani kubambikiwa makesi na kusekwa rumande tu na kupotea na watu kufa mungu ambariki Rais Samia Suluhu Hassan.
 
Kidogo afadhali Kwa sasa Hawana sana shobo. Tunamkandia mwendazake kwa herufi kubwa
Nalog off
 
Makonda, mnyeti, sabaya, herrykisanduku, musiba, kaseba mbana kende za watu, jerry muro ze kibamia malecela to mention the few ni kama wamekuwa surprised kwa kifo cha mwenda zake

Maana hawapati tena dili za kupoteza watu
 
Juzi wametekwa wale jamaa wawili waliokuwa wanapigania Katiba Mpya.
 
Mleta mada kila mara huwa nasikia hii kauli ya watu kutekwa na kupotezwa

Katika Taifa lenye watu takribani 55ml hebu tutajie angalau watu 20 tu mashuhuri (ambao ni sawa na 0.00003% ya Tz Population) waliotekwa au kupotezwa ktk utawala wa JPM
 
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.

Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa nyumbani.

Maana kipindi kile muda wote tulikua tunaishi kwa hofu tu masaa 24 maana wasiojulikana walikuwepo wakiteka watu.

Samia ni mfano wa mwokozi aliyetumwa kuja kuikoa nchi ambayo ilikua inaenda kuzama miaka michache ijayo huyu mama Mungu amuweke ndugu zangu natamani asibadilike awe hivi hivi.

Humu wenyewe ni mashahidi humu JF mambo yalikua magumu sana ilikua ni hatari hata kumpa tu namba humu ukihofia wasiojulikana lakini sahivi at least kidogo japo bado siwashauri lakini tuendelee kuishi katika ID zetu hizi hadi nchi itakapokua ya kidemokrasia kabisa hapo ndo tutakua verified.

Mungu ambariki Mama Samia tuliishi kama mashetani kubambikiwa makesi na kusekwa rumande tu na kupotea na watu kufa mungu ambariki Rais Samia Suluhu Hassan.
simple logicl deduction ni kuwa "wasiojulkana" walikuwa state sponsored.
 
Wewe si ulikuwa unakosoa siku zote mbona hukupotea mkuu?
 
Tangu mama Samia ameingia madarakani, yule mwanamke anayejiita Kigogo kule twitter amekosa kabisa zile habari nyeti nyeti zilizomfanya apate mazombie wengi
 
And the logic ni kwamba mama anamjua na alikuwa nyuma yake.
 
Juzi wametekwa wale jamaa wawili waliokuwa wanapigania Katiba Mpya.
Siyo kweli bali ilikuwa mbinu ya Chadema tu yakuleta taharuki ila ikabumburuka!
2789880_FB_IMG_1622210249583.jpg
 
Back
Top Bottom