kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Huyu mama toka ameingia wanaharakati wa mtandaoni kwa sasa wanalala usingizi na hofu imeondoka.
Nakumbuka kipindi cha mwendazake watu tuliishi kama digidigi. Ilikua kuikosoa serikali kinachofuata ni kifo au kupotea ila toka huyu mama aingie angalau tunapata na usingizi na amani hata ukiwa nyumbani.
Maana kipindi kile muda wote tulikua tunaishi kwa hofu tu masaa 24 maana wasiojulikana walikuwepo wakiteka watu.
Samia ni mfano wa mwokozi aliyetumwa kuja kuikoa nchi ambayo ilikua inaenda kuzama miaka michache ijayo huyu mama Mungu amuweke ndugu zangu natamani asibadilike awe hivi hivi.
Humu wenyewe ni mashahidi humu JF mambo yalikua magumu sana ilikua ni hatari hata kumpa tu namba humu ukihofia wasiojulikana lakini sahivi at least kidogo japo bado siwashauri lakini tuendelee kuishi katika ID zetu hizi hadi nchi itakapokua ya kidemokrasia kabisa hapo ndo tutakua verified.
Mungu ambariki Mama Samia tuliishi kama mashetani kubambikiwa makesi na kusekwa rumande tu na kupotea na watu kufa mungu ambariki Rais Samia Suluhu Hassan.