Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi
RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.

Na Bwanku M Bwanku.

Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 19 nimechambua namna toka iingie madarakani Serikali ya Rais Samia ilivyojikita kutatua kero za Wafanyakazi ili kuimarisha mishahara yao ikiwemo kupunguza Kodi ya mshahara (PAYE), kulipa malimbikizo ya mishahara kwa Wafanyakazi 75,000 na kufanya mabadiliko ndani ya Utumishi ya zaidi ya Bilioni 180, kupunguza Tozo na adhabu kwa Wafanyakazi wenye Mikopo ya Elimu ya Juu n.k.

Zaidi Rais Samia amejibu kiu ya muda mrefu ya Wafanyakazi ya kuongezewa mshahara ambapo ametangaza jambo lipo na mishahara inaongezwa. Changamoto na kero za Wafanyakazi ni zaidi ya kuongezewa mishahara hivyo kuongeza mishahara pekee yake bila kushughulikia changamoto hizo bado unakuwa hujamsaidia Mfanyakazi na ndio maana Serikali ya Rais Samia imefanya kazi kubwa ya kuondoa kero zilizokuwa zinakula mshahara wa Mfanyakazi kabla ya kuongeza mshahara wenyewe ili maslahi ya Watumishi yazidi kuimarika. Soma Makala yangu hapa nimekuwekea na soma Gazeti zima kupitia Link hapo chini. Utafaidi.

👇🏿👇🏿👇🏿

View attachment 2208301

View attachment 2208302
Leo niliwasha tv muda fulani, nikakuta anahojiwa mtu anaitwa Bwanku Bwanku

Aisee kama ndio wewe yule; dogo tafuta shughuli nyingine ya kukuingizia kipato, uchawa wa kisiasa haulipi
 
Back
Top Bottom