Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

Kwahiyo mama Samia ndio kafikia malengo, au hayo ndiyo matamanio yako?
Kafikia matarajio yetu watanzania ya kuhitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwetu, atakayefanya kazi zinazogusa maisha yetu, atakayetusaidia badala ya kutuumiza katika jitihada zetu za kiuchumi, atakaye weka mazingira mazuri na wezeshi kwa kila mtu mwenye kuhitaji kufanya kazi za kiuchumi, hayo yote Rais Samia kayaweza na hivyo kuwa Rais wa ndoto zetu watanzania, ndio maana tunaendelea kumuunga mkono sana
 
Mimi usiniweke kwenye hao watanzania wanaomwelewa huyo mama.
 
Sana katika kututumikia watanzania wanyonge tusio na sauti na tuliotoka familia za kipato Cha chini ili tuweze kuinuka kiuchuni

Hata kama unalipwa acha kutoa kauli za kupotosha .
Embu pitia maeneo ambayo watu wa kipato cha chini wanapatikana kama masokoni, stendi na kwenye vijiwe vya wamachinga halafu uwaulize watu hali zao maisha zikoje?
Kiufupi hali ni ngumu kila mmoja analalamika maisha magumu watu hawana matarajio yeyote wakati wanaamka saa 10 asubuhi analala saa 4 usiku , biashara hakuna mizunguko ya fedha imekuwa migumu sana kwa watu wa kipato cha chini na kati
Embu acha kuleta mzaha wako
 
Mimi usiniweke kwenye hao watanzania wanaomwelewa huyo mama.
Hata mimi sipo kabisa hili litakuwa li shoga/gay.
Linakurupuka huko eti wote tunamkubali sana Mama.
Hiyo ni yeye na ma shago/gays wenzake .
very foolish person indeed mtoa post
 
Kwahiyo mama Samia ndio kafikia malengo, au hayo ndiyo matamanio yako?
na hayo malengo aliwekewa lini na nani?
kuna watu wanajua kukurupuka na kupost upuuzi hususani huyu muwashwa mba
Huyu mama samia ni lini aliwekewa malengo flani kwamba ayatekeleze sasa anayatekeleza vizuri kwa hiyo anastahili pongezi?
 
Mimi mwenyewe nipo kwa watu wa kipato Cha chini lakini tunamatumaini makubwa Sana na Rais Samia kwa kuwa tunaona juhudi zake za kutuinua kiuchumi, sisi Ni wakulima Tumeona namna mh Rais alivyotusaidia kupungua kwa Bei baada ya uamuzi wake wa kuamua kutoa Ruzuku, hapa Ni Kama alitupatia hewa Safi ili tuivute,tunaona kwa wanaosomesha elimu Ni bure Hadi kidato Cha sita, tunaona juhudi kubwa Sana za Rais wetu katika kututumikia watanzania ndio maana tunamuunga mkono
 
na hayo malengo aliwekewa lini na nani?
kuna watu wanajua kukurupuka na kupost upuuzi hususani huyu muwashwa mba
Malengo yapo kwenye ilani ya CCM pamoja na dira ya Taifa lakini Ni mahitaji yetu watanzania tulio wengi kwa kuwa yanagusa maisha yetu ya kila siku
 
Hata mimi sipo kabisa hili litakuwa li shoga/gay.
Linakurupuka huko eti wote tunamkubali sana Mama.
Hiyo ni yeye na ma shago/gays wenzake .
very foolish person indeed mtoa post
Punguza matusi, unaweza kuchangia bila matusi Wala lugha za ukakasi na bado ukafikisha ujumbe wako na kueleweka
 
Punguza matusi, unaweza kuchangia bila matusi Wala lugha za ukakasi na bado ukafikisha ujumbe wako na kueleweka
unaandika upuuzi ambao unatakiwa ukemewe kwa nguvu zote na kwa namna yeyote ile kama vile wachungaji wanavyokemeamapepo kwa lugha
 
Yeye yuko mjini anatafuta hela ili upate pa kuuza hicho chakula chako usife masikini.
Maisha tunategemeana hivyo Ni lazima kila mtu afanye na kutimiza wajibu wake,hivyo Nakuunga mkono hoja yako kuwa kila mtu anawajibika mahali alipo na ndiyo maisha hayo na wote hatuwezi kuwa wakulima au wafanyabiashara au watumishi wa umma, kila mtu kwa kadri alivyo pangiwa na Mwenyezi Mungu mtoa Riziki ndivyo atakavyo wajibika kikazi
 
unaandika upuuzi ambao unatakiwa ukemewe kwa nguvu zote na kwa namna yeyote ile kama vile wachungaji wanavyokemeamapepo kwa lugha
Ni maoni yako na nayaheshimu bila shida maana Ni mtizamo wako binafsi
 
Nini
Nini ambacho mh Rais amefanya ambacho hakijakugusa katika maisha yako

Kipi, mimi sijaona zaidi ya huduma za kawaida za serikali kama umeme na maji ambazo ni huduma napata kwa pesa zangu, hata kama nchi hii ingekuwa haina rais.
 
Kipi, mimi sijaona zaidi ya huduma za kawaida za serikali kama umeme na maji ambazo ni huduma napata kwa pesa zangu, hata kama nchi hii ingekuwa haina rais.
Kwani huduma hizo unazani zinajitekeleza zenyewe bila usimamaizi? Jifunze kushukuru na kupongeza
 
Kwani huduma hizo unazani zinajitekeleza zenyewe bila usimamaizi? Jifunze kushukuru na kupongeza

Wanaosimamia ni wajibu wao maana wanalipwa mshahara kutokana na malipo tuyafanyayo sisi watumiaji. Inapaswa wao ndio watupongeze sisi maana wao hata kodi hawalipi, na wanatumia huduma zote za serikali bure.
 
Mkishiba MAHARAGE Huwa mnaweza kutoka ushuzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…