Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafikia matarajio yetu watanzania ya kuhitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwetu, atakayefanya kazi zinazogusa maisha yetu, atakayetusaidia badala ya kutuumiza katika jitihada zetu za kiuchumi, atakaye weka mazingira mazuri na wezeshi kwa kila mtu mwenye kuhitaji kufanya kazi za kiuchumi, hayo yote Rais Samia kayaweza na hivyo kuwa Rais wa ndoto zetu watanzania, ndio maana tunaendelea kumuunga mkono sanaKwahiyo mama Samia ndio kafikia malengo, au hayo ndiyo matamanio yako?
Nipo nalima ili wewe ule huko mjiniNenda ukawe unalisha mbwa wake
Kafikia matarajio yetu watanzania ya kuhitaji kiongozi atakaye kuwa msikivu kwetu, atakayefanya kazi zinazogusa maisha yetu, atakayetusaidia badala ya kutuumiza katika jitihada zetu za kiuchumi, atakaye weka mazingira mazuri na wezeshi kwa kila mtu mwenye kuhitaji kufanya kazi za kiuchumi, hayo yote Rais Samia kayaweza na hivyo kuwa Rais wa ndoto zetu watanzania, ndio maana tunaendelea kumuunga mkono sana
Yeye yuko mjini anatafuta hela ili upate pa kuuza hicho chakula chako usife masikini.Nipo nalima ili wewe ule huko mjini
Sana katika kututumikia watanzania wanyonge tusio na sauti na tuliotoka familia za kipato Cha chini ili tuweze kuinuka kiuchuni
Hata mimi sipo kabisa hili litakuwa li shoga/gay.Mimi usiniweke kwenye hao watanzania wanaomwelewa huyo mama.
na hayo malengo aliwekewa lini na nani?Kwahiyo mama Samia ndio kafikia malengo, au hayo ndiyo matamanio yako?
Mimi mwenyewe nipo kwa watu wa kipato Cha chini lakini tunamatumaini makubwa Sana na Rais Samia kwa kuwa tunaona juhudi zake za kutuinua kiuchumi, sisi Ni wakulima Tumeona namna mh Rais alivyotusaidia kupungua kwa Bei baada ya uamuzi wake wa kuamua kutoa Ruzuku, hapa Ni Kama alitupatia hewa Safi ili tuivute,tunaona kwa wanaosomesha elimu Ni bure Hadi kidato Cha sita, tunaona juhudi kubwa Sana za Rais wetu katika kututumikia watanzania ndio maana tunamuunga mkonoHata kama unalipwa acha kutoa kauli za kupotosha .
Embu pitia maeneo ambayo watu wa kipato cha chini wanapatikana kama masokoni, stendi na kwenye vijiwe vya wamachinga halafu uwaulize watu hali zao maisha zikoje?
Kiufupi hali ni ngumu kila mmoja analalamika maisha magumu watu hawana matarajio yeyote wakati wanaamka saa 10 asubuhi analala saa 4 usiku , biashara hakuna mizunguko ya fedha imekuwa migumu sana kwa watu wa kipato cha chini na kati
Embu acha kuleta mzaha wako
Malengo yapo kwenye ilani ya CCM pamoja na dira ya Taifa lakini Ni mahitaji yetu watanzania tulio wengi kwa kuwa yanagusa maisha yetu ya kila sikuna hayo malengo aliwekewa lini na nani?
kuna watu wanajua kukurupuka na kupost upuuzi hususani huyu muwashwa mba
Punguza matusi, unaweza kuchangia bila matusi Wala lugha za ukakasi na bado ukafikisha ujumbe wako na kuelewekaHata mimi sipo kabisa hili litakuwa li shoga/gay.
Linakurupuka huko eti wote tunamkubali sana Mama.
Hiyo ni yeye na ma shago/gays wenzake .
very foolish person indeed mtoa post
unaandika upuuzi ambao unatakiwa ukemewe kwa nguvu zote na kwa namna yeyote ile kama vile wachungaji wanavyokemeamapepo kwa lughaPunguza matusi, unaweza kuchangia bila matusi Wala lugha za ukakasi na bado ukafikisha ujumbe wako na kueleweka
Maisha tunategemeana hivyo Ni lazima kila mtu afanye na kutimiza wajibu wake,hivyo Nakuunga mkono hoja yako kuwa kila mtu anawajibika mahali alipo na ndiyo maisha hayo na wote hatuwezi kuwa wakulima au wafanyabiashara au watumishi wa umma, kila mtu kwa kadri alivyo pangiwa na Mwenyezi Mungu mtoa Riziki ndivyo atakavyo wajibika kikaziYeye yuko mjini anatafuta hela ili upate pa kuuza hicho chakula chako usife masikini.
Ni maoni yako na nayaheshimu bila shida maana Ni mtizamo wako binafsiunaandika upuuzi ambao unatakiwa ukemewe kwa nguvu zote na kwa namna yeyote ile kama vile wachungaji wanavyokemeamapepo kwa lugha
Nini ambacho mh Rais amefanya ambacho hakijakugusa katika maisha yakoMimi usiniweke kwenye hao watanzania wanaomwelewa huyo mama.
Nini
Nini ambacho mh Rais amefanya ambacho hakijakugusa katika maisha yako
Kwani huduma hizo unazani zinajitekeleza zenyewe bila usimamaizi? Jifunze kushukuru na kupongezaKipi, mimi sijaona zaidi ya huduma za kawaida za serikali kama umeme na maji ambazo ni huduma napata kwa pesa zangu, hata kama nchi hii ingekuwa haina rais.
Kwani huduma hizo unazani zinajitekeleza zenyewe bila usimamaizi? Jifunze kushukuru na kupongeza
Mkishiba MAHARAGE Huwa mnaweza kutoka ushuzi tuNdugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,
Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais Samia, kwa kuwa watu wote na makundi yote Yana matumaini na Imani na Rais Samia kuhusu madai yao, vyama vya siasa vina matumaini na Imani na Rais Samia Ndio sababu unaona vikiwa tayari kukaa Naye katika meza ya mazungumzo na hata kupanda jukwaa moja na Rais Samia Kama tulivyoona katika ziara yake ambayo wapinzani wamejitokeza kumuunga mkono mh Rais na kuhubiri habari za maendeleo na umoja wa kitaifa na kutanguliza mbele maslahi ya kitaifa
Hali hii imeleta umoja wa kitaifa na kuleta mshikamano na Sasa tunabishana na kupambana kwa hoja tu ya namna ya kuijenga nchi yetu na njia za kupita kupata maendeleo, hii Ni kutokana na kuwa nais Samia Ni mama mwenye dhamira njema na mwaminifu Sana katika kauli zake, Ni mama na kiongozi anayezungumza kilicho katika moyo na kifua chake.
Rais Samia ameonyesha kuwa na dhamira njema katika kulitumikia Taifa hili, Ni kiongozi ambaye ameonyesha kuumizwa Sana na matatizo ya watu, Ni kiongozi anayetamani kila Siku Taifa letu linakuwa kiuchumi na watanzania tunaondokana na Hali ya umaskini na kwamba kila Siku watanzania tunafanikiwa kupata Milo mitatu mezani petu,
Kila mtanzania anamatumaini kuwa kesho yake itakuwa njema na kila mtu anajiona kuwa anaweza pata fursa ya kiuchumi bila kujarisha Hali yake.
Serikali ya Rais Samia imejikita katika kusaidia watu na siyo kuwaumiza watu, serikali ya mama Samia imejikita katika kumtafutia mtanzania fursa za kiuchumi na siyo kuwa kizuizi katika fursa za kiuchumi, Rais Samia amejikita katika kuona kila siku watanzania tunaaamka na kupata Tabasamu jipya na siyo kuishi kwa kukosa matumaini.
Rais Samia anataka kuona kuwa kila mtu anafaidika na jasho lake na juhudi zake katika kujitafutia na kujikwamua kiuchumi, ndio sababu anajitahidi kuweka mazingira mazuri ya kumuwezesha kila mtu mahali anapojishughulisha na kazi anafaidika na kuinuka kiuchumi kupitia mikono yake na ubunifu wake
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti
Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu