Rais Samia ni kiongozi pekee mpaka sasa aliyefanikiwa kupata uungwaji mkono na kukubalika na makundi yote na vyama vyote

Ruzuku kwenye mbolea au masoko ndiyo tatizo la wakulima wa Tanzania??
Suala la masoko lilikuwa tatizo kwetu wakulima kwa miaka mingi, ambapo pamoja na gharama kubwa alizokuwa anatumia mkulima katika uzalishaji lakini mwisho wa siku alikuwa anapangiwa mahali pa kuuza na Bei ya kuuza, lakini mama yetu mpendwa ameruhusu wakulima kuuza popote palipo na Bei nzuri huku yeye na serikali yake wakihakikisha chakula kinakuwepo Cha kutosha nchini kwa usalama wetu maana chakula Ni sehemu ya nguzo za usalama wa Taifa, huwezi ukaoongoza watu wenye njaa, Hali hiyo ya kuruhusu mkulima kuuza popote imetusaidia wakulima kupata Bei nzuri mwaka huu tangia wakati wa mavuno, Hali iliyopelekea hata sisi vijana kuamua kushika jembe na kuingia shambani
 
Most likely, lijamaa takataka kabisa. Wazazi tuna hasara, eti nalo hili waalizaa Wànasema Wana mtoto
Punguza hasira na jaribu kupata mshauri wa saikolojia ndugu yangu maana unakoelekea siyo kuzuri, kutofautiana mitizamo siyo ugomvi Wala siyo sahihi kushambuliana kwa lugha za kudhalilishana, Hata hivyo Mimi bado naendelea kuheshimu Ubinadamu wako na michango yako humu jukwaani, usije ukajikuta siku moja unatukana Hadi wazazi wako kwa vile tu wametofautiana na wewe mtizamo na kuwaambia hawana akili maana mazoea hayachagui utajikuta unahisi wewe pekee ndio mwenye Akili na wote wanaotofautiana na wewe hawana akili, Narudia kusema kuwa nitaendelea kuheshimu michango yako hata Kama ni yakunitukana
 
Huyu ni yeye mwenyewe bana.... Asikusumbie.. ni mama samia na id yake fake... Anazo nying san..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila hili jamaa linapenda kusifia! Hivi usikute lipo kwenye pay roll ya Chongolo eti.
 
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,

Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais Samia, kwa kuwa watu wote na makundi yote Yana matumaini na Imani na Rais Samia kuhusu madai yao, vyama vya siasa vina matumaini na Imani na Rais Samia Ndio sababu unaona vikiwa tayari kukaa Naye katika meza ya mazungumzo na hata kupanda jukwaa moja na Rais Samia Kama tulivyoona katika ziara yake ambayo wapinzani wamejitokeza kumuunga mkono mh Rais na kuhubiri habari za maendeleo na umoja wa kitaifa na kutanguliza mbele maslahi ya kitaifa

Hali hii imeleta umoja wa kitaifa na kuleta mshikamano na Sasa tunabishana na kupambana kwa hoja tu ya namna ya kuijenga nchi yetu na njia za kupita kupata maendeleo, hii Ni kutokana na kuwa nais Samia Ni mama mwenye dhamira njema na mwaminifu Sana katika kauli zake, Ni mama na kiongozi anayezungumza kilicho katika moyo na kifua chake,

Rais Samia ameonyesha kuwa na dhamira njema katika kulitumikia Taifa hili, Ni kiongozi ambaye ameonyesha kuumizwa Sana na matatizo ya watu, Ni kiongozi anayetamani kila Siku Taifa letu linakuwa kiuchumi na watanzania tunaondokana na Hali ya umaskini na kwamba kila Siku watanzania tunafanikiwa kupata Milo mitatu mezani petu,

Kila mtanzania anamatumaini kuwa kesho yake itakuwa njema na kila mtu anajiona kuwa anaweza pata fursa ya kiuchumi bila kujarisha Hali yake,

Serikali ya Rais Samia imejikita katika kusaidia watu na siyo kuwaumiza watu, serikali ya mama Samia imejikita katika kumtafutia mtanzania fursa za kiuchumi na siyo kuwa kizuizi katika fursa za kiuchumi, Rais Samia amejikita katika kuona kila siku watanzania tunaaamka na kupata Tabasamu jipya na siyo kuishi kwa kukosa matumaini,

Rais Samia anataka kuona kuwa kila mtu anafaidika na jasho lake na juhudi zake katika kujitafutia na kujikwamua kiuchumi, ndio sababu anajitahidi kuweka mazingira mazuri ya kumuwezesha kila mtu mahali anapojishughulisha na kazi anafaidika na kuinuka kiuchumi kupitia mikono yake na ubunifu wake

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Hivi hata kama watanzania wajinga unawezaje kujenga imani kwa samia.?

Nam quote kaka yake samia" baba akiamka leo atashangaa samia kuwa rais" hii satement alitoa kaka yake mkubwa baada ya samia kutawazwa urais. Alisema hakuwa na uwezo wa chochote. Maana nyingine tuseme una mtoto nyumbani ila umemkatia tamaa. Unasubiri akue labda atokee mtu amuoe aondoke hapo nyumbani.
 
Acha uongo na upotoshaji kujifanya unamfahamu Sana Rais wetu, Rais wetu ameonyesha uwezo mkubwa sanaaa wa kiuongozi tangia atwae mamlaka na madaraka ya Urais , amejenga matumaini makubwa Sana kwa watanzania , Amegusa maisha ya watanzania wanyonge ambao kwa Sasa wanamuona Rais Samia Kama mkombozi na zawadi kwetu watanzania
 
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,

Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais Samia, kwa kuwa watu wote na makundi yote Yana matumaini na Imani na Rais Samia kuhusu madai yao, vyama vya siasa vina matumaini na Imani na Rais Samia Ndio sababu unaona vikiwa tayari kukaa Naye katika meza ya mazungumzo na hata kupanda jukwaa moja na Rais Samia Kama tulivyoona katika ziara yake ambayo wapinzani wamejitokeza kumuunga mkono mh Rais na kuhubiri habari za maendeleo na umoja wa kitaifa na kutanguliza mbele maslahi ya kitaifa

Hali hii imeleta umoja wa kitaifa na kuleta mshikamano na Sasa tunabishana na kupambana kwa hoja tu ya namna ya kuijenga nchi yetu na njia za kupita kupata maendeleo, hii Ni kutokana na kuwa nais Samia Ni mama mwenye dhamira njema na mwaminifu Sana katika kauli zake, Ni mama na kiongozi anayezungumza kilicho katika moyo na kifua chake,

Rais Samia ameonyesha kuwa na dhamira njema katika kulitumikia Taifa hili, Ni kiongozi ambaye ameonyesha kuumizwa Sana na matatizo ya watu, Ni kiongozi anayetamani kila Siku Taifa letu linakuwa kiuchumi na watanzania tunaondokana na Hali ya umaskini na kwamba kila Siku watanzania tunafanikiwa kupata Milo mitatu mezani petu,

Kila mtanzania anamatumaini kuwa kesho yake itakuwa njema na kila mtu anajiona kuwa anaweza pata fursa ya kiuchumi bila kujarisha Hali yake,

Serikali ya Rais Samia imejikita katika kusaidia watu na siyo kuwaumiza watu, serikali ya mama Samia imejikita katika kumtafutia mtanzania fursa za kiuchumi na siyo kuwa kizuizi katika fursa za kiuchumi, Rais Samia amejikita katika kuona kila siku watanzania tunaaamka na kupata Tabasamu jipya na siyo kuishi kwa kukosa matumaini,

Rais Samia anataka kuona kuwa kila mtu anafaidika na jasho lake na juhudi zake katika kujitafutia na kujikwamua kiuchumi, ndio sababu anajitahidi kuweka mazingira mazuri ya kumuwezesha kila mtu mahali anapojishughulisha na kazi anafaidika na kuinuka kiuchumi kupitia mikono yake na ubunifu wake

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Sukuma Gang watakataa kwa maana walishazoea vya bure hadi interview maofisini zilifutwa ili kuwabeba hawa Sukuma Gang
 
Ndugu yangu Ni ui
Ndugu yangu Ni uungwana na Jambo la Afya kupongeza pale mtu anapofanya vizuri ili kumpa nguvu ya kufanya vyema zaidi, hii ndio sababu hata ya kuanzishwa kwa tuzo mbalimbali Duniani Kama sehemu ya kutoa hamasa kwa watu wanaoonekana kujitoa na kujitolea katika kuwatumikia watu na kuleta matumaini

Kwahiyo rais anafanya kazi yake kwa kujitolea au analipwa mshahara?
 
Umelogwa haswa
Kukosa Exposure na Elimu ni tatizo
Upumbavu Ujinga pia unasumbua wengi
 
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu wamejenga na kuwa Nayo juu ya Rais Samia,

Hakuna mtu au kundi ambalo Ni tishio katika uongozi wa Rais Samia, kwa kuwa watu wote na makundi yote Yana matumaini na Imani na Rais Samia kuhusu madai yao, vyama vya siasa vina matumaini na Imani na Rais Samia Ndio sababu unaona vikiwa tayari kukaa Naye katika meza ya mazungumzo na hata kupanda jukwaa moja na Rais Samia Kama tulivyoona katika ziara yake ambayo wapinzani wamejitokeza kumuunga mkono mh Rais na kuhubiri habari za maendeleo na umoja wa kitaifa na kutanguliza mbele maslahi ya kitaifa

Hali hii imeleta umoja wa kitaifa na kuleta mshikamano na Sasa tunabishana na kupambana kwa hoja tu ya namna ya kuijenga nchi yetu na njia za kupita kupata maendeleo, hii Ni kutokana na kuwa nais Samia Ni mama mwenye dhamira njema na mwaminifu Sana katika kauli zake, Ni mama na kiongozi anayezungumza kilicho katika moyo na kifua chake.

Rais Samia ameonyesha kuwa na dhamira njema katika kulitumikia Taifa hili, Ni kiongozi ambaye ameonyesha kuumizwa Sana na matatizo ya watu, Ni kiongozi anayetamani kila Siku Taifa letu linakuwa kiuchumi na watanzania tunaondokana na Hali ya umaskini na kwamba kila Siku watanzania tunafanikiwa kupata Milo mitatu mezani petu,

Kila mtanzania anamatumaini kuwa kesho yake itakuwa njema na kila mtu anajiona kuwa anaweza pata fursa ya kiuchumi bila kujarisha Hali yake.

Serikali ya Rais Samia imejikita katika kusaidia watu na siyo kuwaumiza watu, serikali ya mama Samia imejikita katika kumtafutia mtanzania fursa za kiuchumi na siyo kuwa kizuizi katika fursa za kiuchumi, Rais Samia amejikita katika kuona kila siku watanzania tunaaamka na kupata Tabasamu jipya na siyo kuishi kwa kukosa matumaini.

Rais Samia anataka kuona kuwa kila mtu anafaidika na jasho lake na juhudi zake katika kujitafutia na kujikwamua kiuchumi, ndio sababu anajitahidi kuweka mazingira mazuri ya kumuwezesha kila mtu mahali anapojishughulisha na kazi anafaidika na kuinuka kiuchumi kupitia mikono yake na ubunifu wake

Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti

Lucas Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Wakiwemo Chadomo wenyewe wa kupinga kila kitu
 
Umelogwa haswa
Kukosa Exposure na Elimu ni tatizo
Upumbavu Ujinga pia unasumbua wengi
Hapana sijalogwa Wala siyo mgeni na siasa za nchi hii, nimekuwa nikisikiliza maoni ya watu kuhusu viongozi wetu mbalimbali na ninaweza kukwambia kuwa mh mama Samia anakubalika na kupendwa Sana na watanzania wa makundi yote na vyama vingi, hii inatokana na namna alivyo msikivu na kujari mawazo ya kila mtu bila kumpuuza mtu, Ni kiongozi anayeamini kuwa sote tuna nafasi katika ujenzi wa Taifa letu Ndio maana anashirikiana na wote wenye dhamira ya dhati ya kujenga nchi yetu
 
Kwahiyo rais anafanya kazi yake kwa kujitolea au analipwa mshahara?
Tindo rafiki yangu wangapi wanalipwa na wanashindwa kufikia malengo? Wangapi wanalipwa lakini wanafanya kazi chini ya kiwango? Wangapi wanalipwa lakini wanaishia kuwa Wala Rushwa? Wangapi wanalipwa lakini wanataka kutoa huduma mpaka uwape chochote? Wangapi wanalipwa lakini wanaishia kuwaumiza watu kwa vyeo vyao? Wangapi wanalipwa lakini wanasaini mikataba ya kifisadi?

Mama Samia Ni kweli analipwa na Kodi zetu lakini anapongezwa kwa kufanya kazi bila kupumzika, bila kuchoka, bila kumbagua mtu, bila kuhitaji kutukuzwa, hivyo sisi tunaotumikiwa tunampongeza Sana maana ameonyesha upendo na uzalendo mkubwa Sana katika kututumikia watanzania wanyonge tusio na sauti na tuliotoka familia za kipato Cha chini ili tuweze kuinuka kiuchuni
 
Kwahiyo mama Samia ndio kafikia malengo, au hayo ndiyo matamanio yako?
 
Back
Top Bottom