lakini jukumu langu muhimu zaidi kama mbobevu ni kueleza mambo ya kweli kinagaubaga hususani hili la rais Dr.Samia Suluhu Hassani kuishi na kuiongiza Tanzania na Africa Mashariki akiwa mioyoni mwa wananchi husika
la muhimu na la maana zaidi,
ni kwa waTanzania kuendeleza uzalendo huu wa kiwango cha juu sana wa kumpenda na kumuheshimu sana kiongozi wao huyu shupavu na madhubuti sana rais DR.Samia Suluhu Hassan