Rais Samia ni kiongozi wa mioyo ya watanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla

Rais Samia ni kiongozi wa mioyo ya watanzania na wana Afrika Mashariki kwa ujumla

Kazi yenu kusifu na kulamba miguu.
labda unazungimzia nisicho kijua,

lakini jukumu langu muhimu zaidi kama mbobevu ni kueleza mambo ya kweli kinagaubaga hususani hili la rais Dr.Samia Suluhu Hassani kuishi na kuiongiza Tanzania na Africa Mashariki akiwa mioyoni mwa wananchi husika:pulpTRAVOLTA:
 
👆
Chawa wawezeshwe na pia wazidi kujengewa uwezo tuelekeapo katika chaguzi mbili zijazo.
la muhimu na la maana zaidi,
ni kwa waTanzania kuendeleza uzalendo huu wa kiwango cha juu sana wa kumpenda na kumuheshimu sana kiongozi wao huyu shupavu na madhubuti sana rais DR.Samia Suluhu Hassan:pulpTRAVOLTA:
 
labda unazungimzia nisicho kijua,

lakini jukumu langu muhimu zaidi kama mbobevu ni kueleza mambo ya kweli kinagaubaga hususani hili la rais Dr.Samia Suluhu Hassani kuishi na kuiongiza Tanzania na Africa Mashariki akiwa mioyoni mwa wananchi husika:pulpTRAVOLTA:
Wananchi wanayanga au wananchi wapi?
 
Back
Top Bottom