Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

Dada wa pwani lazima apende sifa ila hapishani sana na yule nyangumi.
 
Bora hizo sifa zingekuwa za kweli lakini wala hakuna la maana lakini jinsi wanavyosifia utadhani Tanzania imekuwa New York [emoji3]
 
Abadan Samia hawezi kulifikia lile Jinamizi kwa kupenda Sifa labda kama 4yrs ago ulikuwa unaishi Underground.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…