Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

Rais Samia ni mpenda sifa kuliko hata Hayati Magufuli

Bora hizo sifa zingekuwa za kweli lakini wala hakuna la maana lakini jinsi wanavyosifia utadhani Tanzania imekuwa New York [emoji3]
 
Abadan Samia hawezi kulifikia lile Jinamizi kwa kupenda Sifa labda kama 4yrs ago ulikuwa unaishi Underground.
 
Back
Top Bottom