Ojuolegbha JF-Expert Member Joined Sep 6, 2020 Posts 1,278 Reaction score 797 Jan 22, 2025 #1 Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. Attachments IMG-20250121-WA0016.jpg 76.3 KB · Views: 3
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
Craig JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 1,512 Reaction score 2,712 Jan 22, 2025 #3 KJ07 said: Kupe Click to expand... Mkuu naomba kuuliza hivi tofauti ya kupe na chawa ninini?? Naomba nirudishe shulee Mkuu...
KJ07 said: Kupe Click to expand... Mkuu naomba kuuliza hivi tofauti ya kupe na chawa ninini?? Naomba nirudishe shulee Mkuu...
KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Jan 22, 2025 #4 Craig said: Mkuu naomba kuuliza hivi tofauti ya kupe na chawa ninini?? Naomba nirudishe shulee Mkuu... Click to expand... Kupe wanakaa kwa Ng'ombe sana sana
Craig said: Mkuu naomba kuuliza hivi tofauti ya kupe na chawa ninini?? Naomba nirudishe shulee Mkuu... Click to expand... Kupe wanakaa kwa Ng'ombe sana sana
Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 7,672 Reaction score 9,039 Jan 22, 2025 #5 Ojuolegbha said: Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. Click to expand... Tafuta shughuli badala ya uchawa na ukiroboto. Hata Lissu ni msikivu
Ojuolegbha said: Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. Click to expand... Tafuta shughuli badala ya uchawa na ukiroboto. Hata Lissu ni msikivu
Abraham Lincolnn JF-Expert Member Joined Apr 12, 2018 Posts 2,754 Reaction score 4,975 Jan 22, 2025 #6 "Msikivu na mvumilivu" Sikio lenyewe ππ½ππ½ππ½
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 22, 2025 #7 Duh aiseee