Rais samia ni msikivu na mvumilivu

Rais samia ni msikivu na mvumilivu

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
 
Attachments

  • IMG-20250121-WA0016.jpg
    IMG-20250121-WA0016.jpg
    76.3 KB · Views: 3
Moja kati ya sifa kubwa aliyonayo Rais wetu ni uwezo wa kusikiliza kila mtu na uwezo wa kuvumilia mambo mengi.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni Msikivu na Mvumilivu.

Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
Tafuta shughuli badala ya uchawa na ukiroboto. Hata Lissu ni msikivu
 
Back
Top Bottom