Rais Samia ni mwanamke shujaa

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Watanzania tuwe wakweli.

Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa.

Apongezwe kwa busara zake.
 
Unamjua mama wa Ethiopia kweli wewe
 
Watanzania tuwe wakweli.

Rais Samia ndiye mwanamke ambaye ni shujaa ukilinganisha na wanawake wote walio wahi kuwa Marais hapa Africa. Rais Samia anajiamini, ana maamuzi yenye tija kwa Taifa.

Apongezwe kwa busara zake.
Mbona anaogopa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…