Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

Rais Samia nikukumbushe tu, mtangulizi wako alianza nao vyema kama wewe, ulimponda kwa mabaya yake leo yamekukuta

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Ushauri wangu ni kwamba nchi yetu haina special person(specialized) wengi katika taaluma tofauti mfano Siasa ila ina mashabiki wengi baadhi yao wapenda udaku,mipira na wengine wapenda umbeya wa siasa(hawana taarifa ila ni waropokaji kwa taarifa wanazopatiwa).

Ukitaka kutambua hili kuna mtu yupo Marekani kazi yake ni umbeya,kuna wanaune wapo DSM kazi yao umbeya na wanafollowers wengi sana, hivyo nikuambiye tatizo la Watanzania siyo kwamba wanahitaji kitu fulani indeed ila wanapenda kuongea(mdomo mwingi) wanatafuta point of weakness ili kuona unareact vipi na mara nyingi jibu linakuwa linabeba hisia lazima tu uharibu.

Wengine ni Watafuta content hivyo jaribu kuwa nao makini kadri unavyozidi kujibu ushawishi unapungua.

Nakusauri Kunyamaza kwako ndiyo litakuwa jibu sahihi siyo wewe tu,hata wateule wako nyie fanyeni kazi tu.

Nimewasilisha.
 
Alimpondaje? Tangu lini hiyo ikawa tabia ya SSH kuponda watangulizi?

Kwamba humjui aliyekuwa anaponda watangulizi?

Mwisho kwani wewe shida Yako ni ipi?
 
Back
Top Bottom