Rais Samia, nikutakie kila la heri wakati huu mgumu kisiasa

Labda Kama Inawezekana Mama Afunguke Ugumu upo wapi ili apate Ushauri Muafaka!
Sio mbaya akija hata pm...

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Maza alijazwa na watu wake
 
Mahakama iliyo toa Hukumu Sio final say kuna mahakamani ya Rufaa na Mahakamani ya wananchi!
Umetumwa kumuharibia Mama ww[emoji35]

Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…