Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM
Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua.
Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19.
Rais Samia. Filamu ilikamilika mwezi wa tatu na walianza kurusha vipande vya filamu ambavyo vimeongeza kwa kiasi kikubwa idadi ya watalii.
Watalii wa ndani na wanje wameongezeka, watalii wa ndani wameongezeka kwa 7%.
Wamarekani wamehamasika kutembelea Tanzania. Giants kadhaa wa film wameonesha utayari wa kuja kufanyakazi nasi.
Tanzania ijitatarishe kupokea wageni wengi. Hii sio tu kwa watu wa hoteli. Rais amewataka Tume ya Uwekezaji ili wawekezaji wa kwenye hoteli watakaokuja wawekeze kwa urahisi
Amewataka watanzania kuchukua picha iliyooneshwa kwenye filamu. Kwa watu wote wa usafirishaji na kuonesha ukarimu