Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,138
- 22,236
Usimchukie mkuu, kuimba kupokezana.Mungu anisamehe Sana, Kila Nikimuona au Kumsikia ghadhabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usimchukie mkuu, kuimba kupokezana.Mungu anisamehe Sana, Kila Nikimuona au Kumsikia ghadhabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mungu anisamehe Sana, Kila Nikimuona au Kumsikia ghadhabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Huyu Raisi ni mkweli na muwazi kuwa Punguwani aliondoka na Uviko,hakuna cha Betrii kupiga shoti wala nini.
😄😃😃😀😀😂😂🤣😅😆😁😁Huyu Raisi ni mkweli na muwazi kuwa Punguwani aliondoka na Uviko,hakuna cha Betrii kupiga shoti wala nini.
Sijui kwa nini Peter hakukazia kwenye hiyo COVIDKipande changu pendwa kutoka kwenye hiyo filamu😁😁😁
View attachment 2216873
Unawashwa na Kund**** si bureMungu anisamehe Sana, Kila Nikimuona au Kumsikia ghadhabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sio sawa kumdhalilisha kipenzi cha Wanyonge na wazalendo kwa majina ya kebehi
Aisee hii muvi haitakaa iishe.Sehemu za kumdhalilisha jiwe zilikuwa nyingi😁😁😁View attachment 2217000
Wee jamaa is the most funniest person in this platform 🤣🤣🤣🤣Kipande changu pendwa kutoka kwenye hiyo filamu😁😁😁
View attachment 2216873
Kama Unavyowashwa wwUnawashwa na Kund**** si bure
Utaumia sana.Aliyepewa kapewa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Utaumia sana.Aliyepewa kapewa.
Meza wembe.Mungu anisamehe Sana, Kila Nikimuona au Kumsikia ghadhabu tu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Safi sana tour guide. Sasa utuachie ofisi kuu uendelee na u-tuwa gaidi.