CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hii picha akiiona kunguni Lucas Mwashambwa anaumia saana.Yes!
Naweza kusema haya mambo bila nguvu fulani nyuma Yako utafel Kwa Kila kitu. Iwe Kwa ofisi, Biashara, music, Sanaa, mpira n.k
Kipara kaupiga mwingi Mama Kawa mpole Aisee!!!🤔🤔🤔
Ok. Nitaenda Tanga nionane nae anipe maelekezo. Kapita wapi?