Ile treatment ya uraisi hata uwe mgumu kiasi gani huwez acha kizembeHata mwendazake alikuwa anasema amesukumizwa,hakujiandaa na anasema mumiombee Kazi ya Urais ni ngumu Sana,uliwahi msikia akisema ataondoka madarakani?
ππ Usiwaamini wanasiasa.
Siyo mm peke yangu. Mpk rais anamkubali ndiyo maana hakukuteua wewe kukupa uwaziri. Kampa anayeaminikaUnamkubali wewe mpumbavu mwenzako
Inafikirisha Sana. Anasema amefikwa na janga!!!!??Angekataa kama ni janga kwake
wewe nae hujui lugha za waugwana? muugwana anajua dhima ya ukuu.nae hajikwez bali anajua kuwa ni mzigo kuwaamulia mustakabal wa nchi watu aina ya kaliba kama yako.ilihali umekaa nyumban unakunyw juis wakat wenziwo hawalali wanaumiz kichwa.usifasiri lugha za waswahil kama uziskiavyoSijui kwanini wanasiasa wa Bongo hususani mwendazake na huyu mrithi wake wamekuwa wanafiki, Mwendazake alidai alijaribu tu akajikuta amesukumiziwa huko lakini badala ya kuachia ngazi ndio kwanza akawa anasuka mikakati ya kung'ang'ania madaraka leo tena na huyu mrithi wake anadai kurithi urais kwa mujibu wa katiba kwake ni janga lakini ilipodaiwa kwamba hana mpango wa kugombea 2025 amekuwa mkali kama pilipili badala ya kuona hiyo ndio fursa ya kuliepuka hilo janga!
Tanzania hatutawaliwi Bali tunaongozwaKishaanza kuona kiti kichungu. mwanzo alijua ni rahisi rahisi tu. Na bado
Akitaka atawale kwa amani, amuachie mbowe
Perfect Reflection here [emoji122][emoji122][emoji122][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2017237
Watu wa Ajabu sana hawa. Ndio maana huwa tunasema wanasiasa ni Watu wanafiki nafiki TU.Sijui kwanini wanasiasa wa Bongo hususani mwendazake na huyu mrithi wake wamekuwa wanafiki, Mwendazake alidai alijaribu tu akajikuta amesukumiziwa huko lakini badala ya kuachia ngazi ndio kwanza akawa anasuka mikakati ya kung'ang'ania madaraka leo tena na huyu mrithi wake anadai kurithi urais kwa mujibu wa katiba kwake ni janga lakini ilipodaiwa kwamba hana mpango wa kugombea 2025 amekuwa mkali kama pilipili badala ya kuona hiyo ndio fursa ya kuliepuka hilo janga!
Ni Tanzania pekee mtu anaweza kulikimbilia janga na kulipigania alipate yeye!Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
View attachment 2017525
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Mpumbavu,kajifunze tena hicho kiswahili halafu uje ueleze vizuri, kuandika tu hujui.wewe nae hujui lugha za waugwana? muugwana anajua dhima ya ukuu.nae hajikwez bali anajua kuwa ni mzigo kuwaamulia mustakabal wa nchi watu aina ya kaliba kama yako.ilihali umekaa nyumban unakunyw juis wakat wenziwo hawalali wanaumiz kichwa.usifasiri lugha za waswahil kama uziskiavyo
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππMtanikumbuka!
Leo nakuto... totoo, nakutoa kwenu uje kwanguRais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
View attachment 2017525
(Source: TBC1)
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Hamna Rais hapoKama anachukulia hiyo nafasi Kama ni janga basi tumepigwa!.. wale wote wanaokuwa ktk nafasi za pili lazima waandaliwe na wawe tayari kushika majukumu ya kwanza!. Tuchukulie hili kama funzo.
Afrika kuna maajabu sana, unakuta mtu anang'ang'ania kuwa kiongozi wa nchi hata kama anaonekana kabisa kazi haiwezi.Laana ya Mbowe plus uhaba wa maji na umeme vinamtesa.
Cha ajabu 2025 anataka tena kugombea.