Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Wabongo mnajua kusaga kunguni balaa
 
Hahahahah yani huwa akili inanijia ni sawa na yule mwanafunzi ameitwa ubaoni kaandikiwa 2+2=?

Wa nyuma kamuoneshea vidole vinne kuwa jibu ni 4 halafu kwenye jibu pale kaanza kuchora mkono wenye vidole vinne😅!
Totally useless prezi
😃😃😃
 
FB_IMG_16307140795615105.jpg
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

View attachment 2017525

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Hata mwendazake alikuwa anasema amesukumizwa,hakujiandaa na anasema mumiombee Kazi ya Urais ni ngumu Sana,uliwahi msikia akisema ataondoka madarakani?

😄😄 Usiwaamini wanasiasa.
 
Humu ndani kuna watu kama watoto yaani mtu aongee maongezi mengi halafu uuchukue mstari mmoja tu......

Kwani Urais ni kazi rahisi?!!!

Ni rahisi humu Afrika kulikojaa watu wenye hisia na wasiopenda kutanguliza UHALISIA?!!!
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

View attachment 2017525

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Yule kasukumizwa huyu kafikwa na janga[emoji3064][emoji15][emoji848][emoji2827]Eeh Mungu tusadie
 
Kama anachukulia hiyo nafasi Kama ni janga basi tumepigwa!.. wale wote wanaokuwa ktk nafasi za pili lazima waandaliwe na wawe tayari kushika majukumu ya kwanza!. Tuchukulie hili kama funzo.
Ndo akaenda kutuletea na January makamba Janga juu ya janga
 
Back
Top Bottom