Mbona hakukanusha lilipotamkwa Bungeni hili zengwe!Akaunti zako zinawezaje kufungwa kwa sababu za kifamilia bila amri ya mahakama? Ni mahakama ipi ilitoa amri ya kufungwa akaunti za Mbowe kwa maombi ya familia?
Maana mwana mama Yule alijitapa akionya ajaribu tu kukanusha mzee wa Gwanda aone.Naye alipoona nongwa mitini🤣🤣🤣