Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Rais Samia: Nimefikwa na janga la kupewa kiti cha Urais, Mumenishika mkono na kuniombea afya njema

Hawa wote Cha mtoto,kiboko ni Mbowe alibugia Faru John mpaka akavunja mguu,halafu akasema wasiojulikana wamefanya yao.

Akaunti zake zimefungwa kwa mgogoro wa kifamilia akadai TRA.
Hili ndo baba lao.
Kwa sheria ipi TRA ifunge akaunt kwa migogoro ya kifamilia.
Nilifikiri una hukumu ya mahakama iliyoamuru zifungwe.
Mwacheni Gaidi apumzike
 
amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.
mjlol.png

Pole Raisi Samia Suluhu Hassan, ila ni wewe mwenyewe tu hutaki upendwe na utawale raha mustarehe.
 
Ujinga wa hawa viongozi wetu ni kujifanya wapo hapo kwa kutuonea huruma, yaani wanataka tuone wanatusaidia

Na upumbavu wetu ni kuamini huo ujinga wao

Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, anajuta kugombea urais, angejua asigombea Sasa unajiuliza kwanini hakujiuzuru???

Na hata huyu Bibi kizee kwanin asijiuzuru awaachie ambao wataona si janga
 
Rais wetu Mpendwa Mama Jemedari Tupo pamoja naye hadi 2030.

Bado Imara zaidi ya chuma cha pua.

tunamuomba Mungu azidi Kumlinda.

tunamuomba Mungu awaaangamize wabaya wake wote, wapate maradhi yasiyo pona wataaabike nayo hadi wapoteze kumbukumbu.
Amen.
 
Hawa wote Cha mtoto,kiboko ni Mbowe alibugia Faru John mpaka akavunja mguu,halafu akasema wasiojulikana wamefanya yao.

Akaunti zake zimefungwa kwa mgogoro wa kifamilia akadai TRA.
Hili ndo baba lao.
Sijawahi kuwa mtumwa wa kiongozi wala chama chochote nakosoa na kupongeza ninavyojisikia ukifuatilia michango yangu utaliona hilo.
Kazi kwenu vibaraka.
 
Hawa wote Cha mtoto,kiboko ni Mbowe alibugia Faru John mpaka akavunja mguu,halafu akasema wasiojulikana wamefanya yao.

Akaunti zake zimefungwa kwa mgogoro wa kifamilia akadai TRA.
Hili ndo baba lao.
Hata km humpendi, kuongea uongo wa namna hii si jambo la kiungwana
Chuki haina jema popote pale
 
Rais wa JMT mhe Samia amewashukuru wanawake kwa kumpa support ktk kipindi hiki kigumu ambapo amefikwa na janga la kupewa kiti cha urais.

(Source: TBC1)

Nini maoni yako juu ya kauli hii ya mhe rais Samia?
Ulitaka aseme amepata NEEMA ya kuwa Rais, hapo anamaanisha hiyo ni kazi ngumu inayohitaji kujitoa na uvumilivu, yeye sio wa kwanza kuonesha urais ni kazi ngumu hata Nyerere aliwahi kusema hivyo.
 
Back
Top Bottom