Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Mimi sio mpinzani wake,tuko kijijini. Kwa huku kijijini tunaangalia utendaji wa mtu kwenye nafasi husika,hiyo ndio inaweza kuwa upinzani kwake.Siyo kweli. Makamba anakubalika Sana. Pengine wapinzani wake ndiyo mnaona wivu na kuamua kueneza propaganda mfu
Huyu makambo hafai hata kuwa mwenyekiti wa kijiji. JPM alikuwa anaona mbali sana kumuacha kwenye baraza lake. Huyu ni mbinafsi,anaangalia maslahi yake kwanza. Hajali hata kama wengi mtaumia ili mradi yeye ana maslahi.
Ona juzi tu kapewa umeme. Ona kinachotokea. Huyu na miguru sio wa kuwapa nafasi hawa