Rais Samia: Nimekaa kwenye TV tangu saa 10 jioni nikifutilia sherehe za Yanga

Sasa muda huo si ulikuwa muda wa kufanya kampeni huko tabora na kujiandaa kuingia mkoani kigoma, muda wa kuangalia tv aliupataje saa kumi?
 
Mama Samia amefanya hali ya maisha imekuwa simpo SANA Yani hela imekuwa simpo kupatikana wakati wa magu Kuna pisi zilikimbia mji ila sasa zmerudi huyu mama poa sana, mama nisamehe napokusema vibaya money is back


Rich foreverrrr, rod to milionea

Fullstop, kwishaaaaaaaaa
 
Mbona video imekaa kimkakati sana 😁


Sio kuitikia, ni kushangilia na kuzomea wale waliokataa salamu za mama.

Si mmepewa hati ya uwanja? Mtakataaje sasa salamu za mtoa hati? Hamuogopiii?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Video za vibanda umiza ndiyo zitatupa mrejesho. Azam walipangwa wasionyeshe angle yoyote ya karibu. Hata Arafat alivalishwa mic na muda wote alikuwa anawasiliana na watu wasiojulikana. Hawakuwa wanajua nini kinaweza kutokea na walijipanga.

Nimegundua hali ni tete kama hadi mashabiki wa Yanga hawatabiriki sasa hivi.

Tate Mkuu ngara23 niliwaambiaje?
 
Haya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nilisema lakini jana nilishangilia kwa Morali Mama alivyoita wananchiiiiiiiiiiiii
 
Haya wale mliokua mnasema mtahama team, vipii bado hamjafanya maamuzi? Au tuwasukume na bulldozer mtoke huko?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaongea hivyo wakati hukuepo hata uwanjani, uliza ambao tuliokuepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…