Na wewe unaleta uwongo. Watu wengi wamepoteza maisha kutokama na chanjo!! Ebu weka majina angalao 10 tu na details zao, za waliopoteza maisha kutokana na chanjo.Hii ni ticket ya Mama Samia kukosa kura 2025. Stay tuned wadau. Wataenda huko vijijini watawachanja na watu watakufa na hizo hasira hakuna maneno laini yatakayowafanya watu wamsamehe Mama Samia. Tena watamuita MUUAJI! Nadhani kuna kitu wanamficha washauri wake. Watu wengi wamepoteza ndugu zao kwa sababu ya chanjo hii ya majaribio.
Toenei ujinga wenu,kura zenu sukuma gang hatuziitajiHii ni ticket ya Mama Samia kukosa kura 2025. Stay tuned wadau. Wataenda huko vijijini watawachanja na watu watakufa na hizo hasira hakuna maneno laini yatakayowafanya watu wamsamehe Mama Samia. Tena watamuita MUUAJI! Nadhani kuna kitu wanamficha washauri wake. Watu wengi wamepoteza ndugu zao kwa sababu ya chanjo hii ya majaribio.
Hii biashara tu ya wenyekutengeneza madawa. Mafua na vifua vilikwepo tu kwanza malaria vifua vikuu na pressure ndio matatizo makubwa. Hii uviko wametisha watu hawashtuki saa kufikia lengo la mauzo wanalazimisha kuchanja kiujanja. 😪Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi.
Mama wanaomshauri wanamponza Sana.
---
Rais Samia Suluhu, amemzungumzia mhudumu wa afya anayepita nyumba kwa nyumba kuchanja chanjo ya Uviko-19, akionya kampeni hiyo isitumiwe vibaya katika kuwalazimisha watu kuchanja.
Jana katika mitandao ya jamii, kulisambaa habari na picha ikimuonyesha Ofisa wa Afya wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma akipita nyumba kwa nyumba kuwachanja chanjo ya Uviko 19 watu zaidi ya 160 kwa siku moja.
Akizungumzia leo Septemba 27, 2021 katika mkutano mkuu maalum wa uchaguzi viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ngazi ya Taifa unaofanyika mkoani Dodoma hilo, Rais Samia amesema asingependa kuona suala hilo likifanyika kwa mabavu kwa kuwalazimisha watu kuchanja.
Amesema kati ya mambo ambayo angependa ALAT kulishughulikiwa kwa kasi kubwa ni suala la mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 ikiwemo utoaji elimu.
“Juzi na jana nilivyoingia nchini nimekuta hii agenda ya watu kupita nyumba kwa nyumba na mikoba ya sindano kuchoma watu.
“Tulisema hili jambo ni la hiari, ukipita nyumba kwa nyumba anayetaka mchome, asiyetaka usichome, lakini kubwa nalotaka kusema mtu hana mamlaka ya kukubali au kukataa kama anayo elimu.
“Kwani kama ana elimu yakutosha hawezi kukataa, lakini hana elimu unapita tu na mkoba wako unamwambia nikuchome nisikuchome, atakuambia usinichome,” amesema Rais.
Amewataka wahudumu wa afya kutoa elimu ya afya kwa wingi ili wananchi waone umuhimu wa kuchanja.
“Asipoona hilo hawezi kuona uchungu wa hili suala, nendeni kafanyeni kampeni kubwa watu wakubali kuchanja msiende kufanya kwa mabavu. Tupunguze vifo vinavyotokana na ugonjwa,” amesema.
Aidha amesema ndani ya nchi yetu kuna matatizo makubwa matatu na hili la uviko limejitokeza ni la nne.
Ametaja magonjwa mengine kuwa ni TB, HIV na malaria na kueleza kuwa yameshughulikiwa kwa kiasi kikubwa na kuagiza janga la Uviko-19 lishughulikiwe na watu wapate kinga.
Chanzo: Mwananchi
Wengi chanjo imewaua.Na wewe unaleta uwongo. Watu wengi wamepoteza maisha kutokama na chanjo!! Ebu weka majina angalao 10 tu na details zao, za waliopoteza maisha kutokana na chanjo.
Unakosea sana kumdhihaki Dkt Magufuli. Na ndipo tunapotofautiana. Hata Yesu aliishi na kufanya kazi miaka mitatu na wakamuua. Ila mpaka leo wewe ni shahidi injili ya Yesu Kristo inahubiriwa kila pembe ya dunia. Yesu Kristo pia mpaka leo hudhihakiwa ila ukweli upo pale pale, yaani Jina La Yesu Kristo linatoa mapepo, yanaungua na kukimbia. Ni sawa na Dkt Magufuli, hampaswi na si busara kwa mwana CCM kusema eti mshamba/katili. Dkt Magufuli aliandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Unaposema ni mshamba/katili unawatukana hao waliotuletea. Mnavyowatukana hivyo mjue hata Mama wanaweza wasimpitishe kabisa. Achaneni na propaganda za kumdhihaki Dkt Magufuli, haziwasaidii, zinawapunguzia kura.Ukweli unaujuwa, ila mimi namuunga mkono Mama mia kwa mia, tulikuwa kwenye mikono ya washamba na makatili.
Wanamchukia mama ni kupungukiwa tu busara, tupime miaka 6 ya ukatili na miezi 6 ya huyu mama bora ipi?
Huyu mama anahitaji kupewa sapoti, kwanza ngoja tulisambaratishe kundi la mumiani wa Sukuma gang ndio turudi kwenye harakati.
Siko tayari kumuhujumu mama kuwapa nguvu mashetani wa Sukuma gang, ni heri haya majizi ya msoga huwa yanakula huku yanatuachia makombo kuliko hawa Sukuma gang ni makatili na wauwaji wakubwa.
Bora uwaambie......JPM alikuwa mtu na nusu.Wengi chanjo imewaua.
Unakosea sana kumdhihaki Dkt Magufuli. Na ndipo tunapotofautiana. Hata Yesu aliishi na kufanya kazi miaka mitatu na wakamuua. Ila mpaka leo wewe ni shahidi injili ya Yesu Kristo inahubiriwa kila pembe ya dunia. Yesu Kristo pia mpaka leo hudhihakiwa ila ukweli upo pale pale, yaani Jina La Yesu Kristo linatoa mapepo, yanaungua na kukimbia. Ni sawa na Dkt Magufuli, hampaswi na si busara kwa mwana CCM kusema eti mshamba/katili. Dkt Magufuli aliandaliwa na vyombo vya ulinzi na usalama. Unaposema ni mshamba/katili unawatukana hao waliotuletea. Mnavyowatukana hivyo mjue hata Mama wanaweza wasimpitishe kabisa. Achaneni na propaganda za kumdhihaki Dkt Magufuli, haziwasaidii, zinawapunguzia kura.
WaTanzania tuamkeni.Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi.
Mama wanaomshauri wanamponza Sana.
---
Rais Samia Suluhu, amemzungumzia mhudumu wa afya anayepita nyumba kwa nyumba kuchanja chanjo ya Uviko-19, akionya kampeni hiyo isitumiwe vibaya katika kuwalazimisha watu kuchanja.
Jana katika mitandao ya jamii, kulisambaa habari na picha ikimuonyesha Ofisa wa Afya wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma akipita nyumba kwa nyumba kuwachanja chanjo ya Uviko 19 watu zaidi ya 160 kwa siku moja.
Akizungumzia leo Septemba 27, 2021 katika mkutano mkuu maalum wa uchaguzi viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ngazi ya Taifa unaofanyika mkoani Dodoma hilo, Rais Samia amesema asingependa kuona suala hilo likifanyika kwa mabavu kwa kuwalazimisha watu kuchanja.
Amesema kati ya mambo ambayo angependa ALAT kulishughulikiwa kwa kasi kubwa ni suala la mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 ikiwemo utoaji elimu.
“Juzi na jana nilivyoingia nchini nimekuta hii agenda ya watu kupita nyumba kwa nyumba na mikoba ya sindano kuchoma watu.
“Tulisema hili jambo ni la hiari, ukipita nyumba kwa nyumba anayetaka mchome, asiyetaka usichome, lakini kubwa nalotaka kusema mtu hana mamlaka ya kukubali au kukataa kama anayo elimu.
“Kwani kama ana elimu yakutosha hawezi kukataa, lakini hana elimu unapita tu na mkoba wako unamwambia nikuchome nisikuchome, atakuambia usinichome,” amesema Rais.
Amewataka wahudumu wa afya kutoa elimu ya afya kwa wingi ili wananchi waone umuhimu wa kuchanja.
“Asipoona hilo hawezi kuona uchungu wa hili suala, nendeni kafanyeni kampeni kubwa watu wakubali kuchanja msiende kufanya kwa mabavu. Tupunguze vifo vinavyotokana na ugonjwa,” amesema.
Aidha amesema ndani ya nchi yetu kuna matatizo makubwa matatu na hili la uviko limejitokeza ni la nne.
Ametaja magonjwa mengine kuwa ni TB, HIV na malaria na kueleza kuwa yameshughulikiwa kwa kiasi kikubwa na kuagiza janga la Uviko-19 lishughulikiwe na watu wapate kinga.
Chanzo: Mwananchi
Mbona hakusema chochote kwa mku wa mkoa wa Mbeya juzi alipotangaza kuanza kupeleka chanjo ya UVIKO-19 nyumba kwa nyumba na kitanda kwa kitanda kwa madai eti wananchi wengi waliomba kupelekewa nyumbani kitu ambacho wananchi walengwa wanakikanusha?Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya.
Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi.
Mama wanaomshauri wanamponza Sana.
---
Rais Samia Suluhu, amemzungumzia mhudumu wa afya anayepita nyumba kwa nyumba kuchanja chanjo ya Uviko-19, akionya kampeni hiyo isitumiwe vibaya katika kuwalazimisha watu kuchanja.
Jana katika mitandao ya jamii, kulisambaa habari na picha ikimuonyesha Ofisa wa Afya wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma akipita nyumba kwa nyumba kuwachanja chanjo ya Uviko 19 watu zaidi ya 160 kwa siku moja.
Akizungumzia leo Septemba 27, 2021 katika mkutano mkuu maalum wa uchaguzi viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) ngazi ya Taifa unaofanyika mkoani Dodoma hilo, Rais Samia amesema asingependa kuona suala hilo likifanyika kwa mabavu kwa kuwalazimisha watu kuchanja.
Amesema kati ya mambo ambayo angependa ALAT kulishughulikiwa kwa kasi kubwa ni suala la mapambano dhidi ya ugonjwa wa Uviko 19 ikiwemo utoaji elimu.
“Juzi na jana nilivyoingia nchini nimekuta hii agenda ya watu kupita nyumba kwa nyumba na mikoba ya sindano kuchoma watu.
“Tulisema hili jambo ni la hiari, ukipita nyumba kwa nyumba anayetaka mchome, asiyetaka usichome, lakini kubwa nalotaka kusema mtu hana mamlaka ya kukubali au kukataa kama anayo elimu.
“Kwani kama ana elimu yakutosha hawezi kukataa, lakini hana elimu unapita tu na mkoba wako unamwambia nikuchome nisikuchome, atakuambia usinichome,” amesema Rais.
Amewataka wahudumu wa afya kutoa elimu ya afya kwa wingi ili wananchi waone umuhimu wa kuchanja.
“Asipoona hilo hawezi kuona uchungu wa hili suala, nendeni kafanyeni kampeni kubwa watu wakubali kuchanja msiende kufanya kwa mabavu. Tupunguze vifo vinavyotokana na ugonjwa,” amesema.
Aidha amesema ndani ya nchi yetu kuna matatizo makubwa matatu na hili la uviko limejitokeza ni la nne.
Ametaja magonjwa mengine kuwa ni TB, HIV na malaria na kueleza kuwa yameshughulikiwa kwa kiasi kikubwa na kuagiza janga la Uviko-19 lishughulikiwe na watu wapate kinga.
Chanzo: Mwananchi
Mjini wamechanja wengi mbona hakuna kifo hata moja related na chanjo hiyo?! Mmezoea kuwanipulate watu wa vijijini na kuwatumia mnavyopenda kwa ajili ya kura zenu. Tunasema hivi watu wachanjwe afu tuone nani atamnyima kura SSH 2025.Hii ni ticket ya Mama Samia kukosa kura 2025. Stay tuned wadau. Wataenda huko vijijini watawachanja na watu watakufa na hizo hasira hakuna maneno laini yatakayowafanya watu wamsamehe Mama Samia. Tena watamuita MUUAJI! Nadhani kuna kitu wanamficha washauri wake. Watu wengi wamepoteza ndugu zao kwa sababu ya chanjo hii ya majaribio.
acha uongo, ukiendelea hivi uyajikuta unawaambia watu wewe mwanamke wakati ni mwanaumeHii ni ticket ya Mama Samia kukosa kura 2025. Stay tuned wadau. Wataenda huko vijijini watawachanja na watu watakufa na hizo hasira hakuna maneno laini yatakayowafanya watu wamsamehe Mama Samia. Tena watamuita MUUAJI! Nadhani kuna kitu wanamficha washauri wake. Watu wengi wamepoteza ndugu zao kwa sababu ya chanjo hii ya majaribio.
Weka akiba ya maneno...ikumbuke hii tarehe na saa..Mjini wamechanja wengi mbona hakuna kifo hata moja related na chanjo hiyo?! Mmezoea kuwanipulate watu wa vijijini na kuwatumia mnavyopenda kwa ajili ya kura zenu. Tunasema hivi watu wachanjwe afu tuone nani atamnyima kura SSH 2025.
Sukuma gang ni nani na nani?Ukweli unaujuwa, ila mimi namuunga mkono Mama mia kwa mia, tulikuwa kwenye mikono ya washamba na makatili.
Wanamchukia mama ni kupungukiwa tu busara, tupime miaka 6 ya ukatili na miezi 6 ya huyu mama bora ipi?
Huyu mama anahitaji kupewa sapoti, kwanza ngoja tulisambaratishe kundi la mumiani wa Sukuma gang ndio turudi kwenye harakati.
Siko tayari kumuhujumu mama kuwapa nguvu mashetani wa Sukuma gang, ni heri haya majizi ya msoga huwa yanakula huku yanatuachia makombo kuliko hawa Sukuma gang ni makatili na wauwaji wakubwa.
Wataalamu wanauliza;Kwa hili namuunga mkono mama Samia si kila mtu ana ajira serikalini au ana mpango wa kwenda nje au kupokea kijijini wazungu au wachina wenye corona
Ccm haijawahi kuwa madarakani kwa kura.Oh kumbe. Dah mbona mleta maada kaleta nusunusu. Sema tatizo la viongozi wengi ni unafiki. Kila mtu anataka aoneshe chanjo zote zimetumika ili asifike kwa rais bila kujua kifo cha chanjo kitasababisha Mama akose kura.
Hili ndo tatizo kuu, wanaogopa kusema ukweli kuwa mwendazake aliwalaghai wananchi.Ukweli usemwe na maamlaka za juu bwana yule alipotosha watu ili iwe rahisi waandamizi kutoa elimu covid na Chanjo.
Huyo lazima awe matagaNa wewe unaleta uwongo. Watu wengi wamepoteza maisha kutokama na chanjo!! Ebu weka majina angalao 10 tu na details zao, za waliopoteza maisha kutokana na chanjo.
Sukuma gang kaziniHii biashara tu ya wenyekutengeneza madawa. Mafua na vifua vilikwepo tu kwanza malaria vifua vikuu na pressure ndio matatizo makubwa. Hii uviko wametisha watu hawashtuki saa kufikia lengo la mauzo wanalazimisha kuchanja kiujanja. [emoji25]
HahahahaUkweli unaujuwa, ila mimi namuunga mkono Mama mia kwa mia, tulikuwa kwenye mikono ya washamba na makatili.
Wanamchukia mama ni kupungukiwa tu busara, tupime miaka 6 ya ukatili na miezi 6 ya huyu mama bora ipi?
Huyu mama anahitaji kupewa sapoti, kwanza ngoja tulisambaratishe kundi la mumiani wa Sukuma gang ndio turudi kwenye harakati.
Siko tayari kumuhujumu mama kuwapa nguvu mashetani wa Sukuma gang, ni heri haya majizi ya msoga huwa yanakula huku yanatuachia makombo kuliko hawa Sukuma gang ni makatili na wauwaji wakubwa.
Acha umataga.Wengi chanjo imewaua.