Itakuja huyu anaonekana yuko tayari kabisa kaonyesha bila shaka.Hili Jambo limemkaa Sana mdomoni mama,huenda kuna matumaini ya katiba mpya
Nu kweliHili Jambo limemkaa Sana mdomoni mama,huenda kuna matumaini ya katiba mpya
Wanajukwaa ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.
Nini maoni yako?