Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao wengi wao hawaangalii nini wataacha kwa wananchi bali wanatazama mafanikio ya chama chao kama kipo salama.Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.