Hivi na nyie mmekubali kabisa JPM amekufa?Asante sana mama,nikili wazi moyo wangu tangu kifo cha rais JPM ulipigwa ganzi nisijue cha kufanya,lakini hadi sasa mama Samia naona anafuata nyanyo za JPM ,hongera mama,Mungu akupe kheri na fanaka...
Ccm iliyokubali makosa ni ipi na hii mpya ni ipi?Hivi kwa nini hamtaki kukubali kwamba CCM ilishakubali makosa,na kwamba CCM iliyopo sasa ni CCM mpya?Kwanza upinzani uko wapi wa kuwaletea Watanzania maendeleo.Haya makarai ya zege ya mabepari na watetea mashoga!Hatuwezi kuongozwa na watetea mashoga.Hivi Watanzania mnatuonaje,ni mabwege sana au.
Ccm ya kubebwa kama ulivyosema Bashiru pale ITV kuwa ccm inatumia dola kubakia madarakani na siyo ridhaa ya wananchi wapiga kura.
Mmeanza mlifikiri mtamsifia kwa vijineno tu ndo afanye mnayo taka! Sahau hilo. Amepikwa na mawe - mawe yakaiva mwana CCM akabaki vilele vile!Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye mamlaka hapa duniani
Takataka tupuMmeanza mlifikiri mtamsifia kwa vijineno tu ndo afanye mnayo taka! Sahau hilo. Amepikwa na mawe - mawe yakaiva mwana CCM akabaki vilele vile!
Kwa kivenda lugha ya Ramaphosa inasemwa hivi : CCM yobikwa na ive, ive lobiva - CCM yosala! (CCM ilipikwa na jiwe, jiwe likaiva CCM ikabaki vilevile mbichi) - haibadiliki!
Kauli mbiu ya kila mwenyekiti wa sisiemu ni PIGA UA CHAMA HAKIFII MIKONONI MWANGU.🤣🤣
Awe wa kwanza CCM imfie kwenye utawala wake? Thubutu
Mwanakijiji aliwandaa kisaikolojia akaambulia kuambiwa msaliti.Katiba tuliyo nayo ni nzuri sana inatoshaHahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Kashfa na matusi ni mojawapo ya ilani ya MATAGA wa lumumbaHahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Mbona unarusha ngumi hewani?Huna akili wewe
Katiba huru haikwepeki na kila atakayejaribu kuidhulumu ibilisi atapita naye mazimaWana JF
Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Mti ukikatwa haunyauki hapohapoAliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Mindset za watanzania wengi ni majanga. Hutaki rais akosolewe akikosea? Tatizo lenu elimu ndogo na mmeshaaminishwa mkubwa hakosolewi. Au akikosolewa mnasema ni matusi. Ndiyo maana mnabaki maskini wakati nchi ni tajiri. Ufukukara wenu uko kwenye akili.Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.
Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Katiba hata iwe nzuri namna gani, kama haina watu wa kuilinda ni bure. Hili siku zote nawaambia watu wanaodai katiba mpya. Wananchi wa Tanzania walivyo wasivyojitambua hata ingeanikwa katiba nzuri namna gani akipatikana rais mbabe kama Magufuli ataikanyaga kanyaga na hakuna atakayethubutu kufanya fyoko.🤣🤣
Awe wa kwanza CCM imfie kwenye utawala wake? Thubutu
Acha kumdanganya mama unataka kumuingiza king nn? Et atakumbukwa kwa katika!Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.