Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Asante sana mama,nikili wazi moyo wangu tangu kifo cha rais JPM ulipigwa ganzi nisijue cha kufanya,lakini hadi sasa mama Samia naona anafuata nyanyo za JPM ,hongera mama,Mungu akupe kheri na fanaka...
Hivi na nyie mmekubali kabisa JPM amekufa?

Stulikubaliana anaongezwa muda mpaka 2050
 
Ccm li
Hivi kwa nini hamtaki kukubali kwamba CCM ilishakubali makosa,na kwamba CCM iliyopo sasa ni CCM mpya?Kwanza upinzani uko wapi wa kuwaletea Watanzania maendeleo.Haya makarai ya zege ya mabepari na watetea mashoga!Hatuwezi kuongozwa na watetea mashoga.Hivi Watanzania mnatuonaje,ni mabwege sana au.
Ccm iliyokubali makosa ni ipi na hii mpya ni ipi?

Wazee bado mpo madarakani sababu tuna wajinga wengi lakini muda utaongea.

Kuwaletea maendekeo kutoka wapi hebu wacha vituko mzee!

Maendeleo ni process na sidhani kama hiyo hatua tumeianza sababu cha kwanza ni kujenga mifumo ambayo ccm hamuitaki.

Unainyoshea upinzani kidole kuhusu mashoga wakati hawajawahi kushika nchi.

Sasa ccm si ndio inaongoza nchi mbona mashoga bado wapo? Ccm imewafanya nini mashoga?

Hii propaganda ni ya kijinga mno.
 
Wanaamini kuwa wao ndiyo wenye mamlaka hapa duniani
Mmeanza mlifikiri mtamsifia kwa vijineno tu ndo afanye mnayo taka! Sahau hilo. Amepikwa na mawe - mawe yakaiva mwana CCM akabaki vilele vile!

Kwa kivenda lugha ya Ramaphosa inasemwa hivi : CCM yobikwa na ive, ive lobiva - CCM yosala! (CCM ilipikwa na jiwe, jiwe likaiva CCM ikabaki vilevile mbichi) - haibadiliki!
 
Takataka tupu
 
Kwanza ile tu kutamka katiba ni kitu kilicho ndani ya moyo wake.
Tumtarajie kwa jema
 
Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.

Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Mwanakijiji aliwandaa kisaikolojia akaambulia kuambiwa msaliti.Katiba tuliyo nayo ni nzuri sana inatosha
 
Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.

Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Kashfa na matusi ni mojawapo ya ilani ya MATAGA wa lumumba
 
Wana JF

Raisi Samia wakati akiwaapisha mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza. Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?

Haki huinua taifa.
Katiba huru haikwepeki na kila atakayejaribu kuidhulumu ibilisi atapita naye mazima
 
CCM wanajua tu kuwa siku wakibadilisha katiba ndio mwisho wao wa kushinda ushindi wa asilimia 88 kama za magufuli wataangukia puaa
 
Hahahaaa...Mzee Mwanakijiji aliwaambia mapema sana lakini hamkumuelewa.

Sasa tutarajie matusi,kashfa na dharau,toka kwa upinzani
Mindset za watanzania wengi ni majanga. Hutaki rais akosolewe akikosea? Tatizo lenu elimu ndogo na mmeshaaminishwa mkubwa hakosolewi. Au akikosolewa mnasema ni matusi. Ndiyo maana mnabaki maskini wakati nchi ni tajiri. Ufukukara wenu uko kwenye akili.
 
🤣🤣

Awe wa kwanza CCM imfie kwenye utawala wake? Thubutu
Katiba hata iwe nzuri namna gani, kama haina watu wa kuilinda ni bure. Hili siku zote nawaambia watu wanaodai katiba mpya. Wananchi wa Tanzania walivyo wasivyojitambua hata ingeanikwa katiba nzuri namna gani akipatikana rais mbabe kama Magufuli ataikanyaga kanyaga na hakuna atakayethubutu kufanya fyoko.
 
Watanzania sijui ni watu wa namna gani, katiba siyo mali ya rais ni mkataba kati ya viongozi na wananchi, sasa rais anaingiaje hapo unless huyo rais ni dikteta kama alivyokuwa Magufuli.
 
Sio rahisi chama kutawala kuwapa wananchi katiba mpya
 
Akikaza shingo kama alivyofanya mtangulizi wake, asitarajie kuacha historia ya maana. Akiurejesha na kuumalizia kwa matarajio ya Watanzania walio wengi, hakika atakumbukwa milele na vizazi vyote.
Acha kumdanganya mama unataka kumuingiza king nn? Et atakumbukwa kwa katika!
 
Back
Top Bottom