Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Jamani kasema tusahau,hivi waswahili hatuielewi lugha yetu.kusahau kinyume chake kukumbuka.Serikali yake ipo chini ya Chama Chake.Tusubiri awe Mwenyekiti wa Chama Chake,labda kwa uwezo wa Muumba Mbingu na Ardhi INSHAALLAH,anaweza akaruhusu mchakato wa katiba mpya.Akiruhusu mchakato wa katiba mpya sasa Chama chake hakitomwelewa.Mama yetu tumekuelewa.Ila basi kwa kuwa ni awamu ya 6 ungetoa kauli mbiu yako.Nashauri iwe Demokrasia kwa wote.
 
"... nina maradhi gani na katiba?" Alilalama aliyepata maradhi na nadhani maradhi yake ni haya:

Ulikuwa makamu mwenyekiti wake katika hilo bunge la katiba iliyoleta maradhi.
Mkaondoa maoni ya wananchi yaliyokusanywa na tume iliyoongozwa na Warioba.
JK akayaponda na hata kumponda mwenyekiti wake.
Makonda akamkata ngwara na kuzawadiwa cheo cha ukuu wa wilaya ya Kinondoni!
Mkaja na maoni ya chama fulani badala ya yale ya wananchi.
Othman Masoud Othman Sharif akaadhibiwa na kuporwa cheo kwa kuwa na mtazamo tofauti na wa chama fulani.
Hapo lazima upate maradhi, tena makubwa!

Ni tiba ipi ya maradhi kama hayo?

Kwanza ni toba!
Pili ni katiba mpya yenye maoni ya wananchi, si ya chama fulani.
Humo iwemo tume huru, wagombea huru, Zanzibar huru na Tanganyika huru, nk.!

Ni maoni yangu na nitaheshimu yeyote mwenye maoni tofauti pasipo kubeza au kudharau. Heshima kwanza kwa utu wa mtu, hata kama ana maoni au mtazamo tofauti.
 
Jamani kasema tusahau,hivi waswahili hatuielewi lugha yetu.kusahau kinyume chake kukumbuka.Serikali yake ipo chini ya Chama Chake.Tusubiri awe Mwenyekiti wa Chama Chake,labda kwa uwezo wa Muumba Mbingu na Ardhi INSHAALLAH,anaweza akaruhusu mchakato wa katiba mpya.Akiruhusu mchakato wa katiba mpya sasa Chama chake hakitomwelewa.Mama yetu tumekuelewa.Ila basi kwa kuwa ni awamu ya 6 ungetoa kauli mbiu yako.Nashauri iwe Demokrasia kwa wote.
Hii ni awamu ya tano,alikosea tu,ballot box ndiyo inayobadili awamu.Ulie tu mkuu,slogan ni ile ile,"HAPA KAZI TU."

Halafu democracy ndio mnyama gani,wananchi wanahitaji development and more food in their bellies,not democracy.

Democracy is an illusion and distortion technique of the mabeberu
(imperialists) to distract us from real issues,na wewe unatumiwa tu kama karai la zege.Pole sana.
 
Tuonyeshe vifungu ,,siyo unakomaa kumpinga rais.
Mh Samia yupo sahihi, hii ni awamu yake siyo ya mpendwa wenu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tuonyeshe vifungu ,,siyo unakomaa kumpinga rais.
Mh Samia yupo sahihi, hii ni awamu yake siyo ya mpendwa wenu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hatuko mahakani hapa mkuu.Halafuu, mbona kama Mtanzania nina haki ya kutoa mawazo yangu kikatiba na wala hakuna lazima kukubaliana na Rais kila jambo?Mimi sio taahira mkuu,I am an independent thinker.Kumbuka na mimi nina uwezo wa kufikiri,sio jahazi au kasuku!

Even though,kama ni awamu ya tano au ya sita sio issue sana,wananchi wanachotaka ni maendeleo.
 
Mkuu mbona nina haki ya kutoa mawazo yangu kikatiba na wala hakuna lazima kukubaliana naye kila jambo.Kumbuka na mimi nina uwezo wa kufikiri!

Hata hivyoo,kama ni awamu ya tano au ya sita is immaterial,wananchi wanachotaka ni maendeleo.
Nimekukumbusha tu kuifanya hoja yako imara.
 
Hata ikija,kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ile inayoiongezea
nguvu zaidi CCM.Maana wao wamejaa sana mjengoni kwa Sasa.
Kwasasa jaribuni kusahu,kama mlivyoambiwa.
Kumbuka bunge la katiba limeshamaliza kazi na kutoka na Rasimu ambayo hatua iliyopo ni kupigiwa kura na wananchi...wingi wa wabunge wa CCM bungeni hauna madhara kwa hii rasimu labda kama ataanza mchakato upya for which ni wastage of resources wakati yeye akiwa makamu speaker aliwezesha kupatikana kwa hii rasimu.
 
Anaweza kukubali huo mchakato ukaanza maana yeye hana sana sababu za kutufanyia ukatili wakati yeye akimaliza uongozi wake anarudi zake zenji kutafuna bata wake.sss

Marais wengi wastaafu zanzibar wanapenda kuishi DAR , Ukiacha Mzee Salmin ambaye hali yake kasharudisha mpira kwa kipa , Mama yeye alikuwa kashajipanga kuishi Zake Mbweni Beach .....uzuri wa viongozi kutoka Zanzibar wengi huwa hawana makuu sana ...
 
Hakika mfano tumeanza kuuona kwa huyu mama yetu
 
WanaJukwaa,

Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.

Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?

Haki huinua taifa.

Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.

Nini maoni yako?
Justice delayed is justice denied
 
Akileta katiba mpya, kasi mpya ya 6G ya maendeleo, akitumbua majipu, kukawa na haki na uburu wa kuongea, vyombo vya Habari, wasiojulikana wakajulikana, mafisadi wakashughulikiwa, Tshs ikapanda thamani kidogo, bunge huru na multiparty kama awali, fursa za kazi na biashara etc huenda akawa raisi wa kwa za karne hii kuongoza kwa 15yrs ila mwache ademe as usual ni fyekelea mbali 2025
WanaJukwaa,

Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.

Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?

Haki huinua taifa.

Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.

Nini maoni yako?
 
Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
JK huyo huyo ndo alie itupilia mbali katiba. Na akatoa hata maneno ya kejeli kwa tume alokuwa kaiteua mwenyewe. Kumsingizia Magufuli ni uonezi mkubwa. Chama kiliikataa katiba toka Kikwete akiwa madarakani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Tusipindishe Historia.
 
Hakika mfano tumeanza kuuona kwa huyu mama yetu
Yule Mvuta bhangi alikuwa mwizi ,tamaaa lakini mshamba hajui vitu vizuri .....kwao kajenga msururu wa majumba ya kishamba kama yale ya masamaki ...wa TRA .
Hakuna serikali ilitawaliwa na rushwa , upendeleo na ubaguzi wa kikanda kama hii ....na kubagua hata kwenye kanda anapendelea wa kijiji chao .....umeona wapi mtu anachukua mawaziri watano toka eneo moja [mkoa]
 
WanaJukwaa,

Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.

Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?

Haki huinua taifa.

Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.

Nini maoni yako?
Tumuache rais atekeleze ilani ya chama kwanza. Mambo ya katiba yatafuata baadae kwani kilichobaki ni kura ya maoni tu. Bunge la katiba lilishamaliza kazi yake zamani.
 
Huo ndio ukweli, bahati mbaya watu wanasahau upesi sana. Hawajui Kikwete alivyoanza vizuri akamaliza vibaya mwenyewe!
JK huyo huyo ndo alie itupilia mbali katiba. Na akatoa hata maneno ya kejeli kwa tume alokuwa kaiteua mwenyewe. Kumsingizia Magufuli ni uonezi mkubwa. Chama kiliikataa katiba toka kikwete akiwa madarakani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Tusipindishe Historia.
 
Back
Top Bottom