Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili naona mpaka tufanye replacement ya hiyo kitu juu ya shingo ndio tutaelewana!Wataniwekaje mjini na mimi sikai mjini?
Hii ni awamu ya tano,alikosea tu,ballot box ndiyo inayobadili awamu.Ulie tu mkuu,slogan ni ile ile,"HAPA KAZI TU."Jamani kasema tusahau,hivi waswahili hatuielewi lugha yetu.kusahau kinyume chake kukumbuka.Serikali yake ipo chini ya Chama Chake.Tusubiri awe Mwenyekiti wa Chama Chake,labda kwa uwezo wa Muumba Mbingu na Ardhi INSHAALLAH,anaweza akaruhusu mchakato wa katiba mpya.Akiruhusu mchakato wa katiba mpya sasa Chama chake hakitomwelewa.Mama yetu tumekuelewa.Ila basi kwa kuwa ni awamu ya 6 ungetoa kauli mbiu yako.Nashauri iwe Demokrasia kwa wote.
Tuonyeshe vifungu ,,siyo unakomaa kumpinga rais.Hii ni awamu ya tano,alikosea tu,ballot box ndiyo inayobadili awamu.Ulie tu mkuu,slogan ni ile ile,"HAPA KAZI TU."
Halafu democracy ndio mnyama gani,wananchi wanahitaji development and more food in their bellies,not democracy.
Democracy is an illusion and distortion technique of the mabeberu
(imperialists) to distract us from real issues,na wewe unatumiwa tu kama karai la zege.Pole sana.
Hatuko mahakani hapa mkuu.Halafuu, mbona kama Mtanzania nina haki ya kutoa mawazo yangu kikatiba na wala hakuna lazima kukubaliana na Rais kila jambo?Mimi sio taahira mkuu,I am an independent thinker.Kumbuka na mimi nina uwezo wa kufikiri,sio jahazi au kasuku!Tuonyeshe vifungu ,,siyo unakomaa kumpinga rais.
Mh Samia yupo sahihi, hii ni awamu yake siyo ya mpendwa wenu [emoji3][emoji3][emoji3]
Nimekukumbusha tu kuifanya hoja yako imara.Mkuu mbona nina haki ya kutoa mawazo yangu kikatiba na wala hakuna lazima kukubaliana naye kila jambo.Kumbuka na mimi nina uwezo wa kufikiri!
Hata hivyoo,kama ni awamu ya tano au ya sita is immaterial,wananchi wanachotaka ni maendeleo.
Mmm!Nimekukumbusha tu kuifanya hoja yako imara.
Kumbuka bunge la katiba limeshamaliza kazi na kutoka na Rasimu ambayo hatua iliyopo ni kupigiwa kura na wananchi...wingi wa wabunge wa CCM bungeni hauna madhara kwa hii rasimu labda kama ataanza mchakato upya for which ni wastage of resources wakati yeye akiwa makamu speaker aliwezesha kupatikana kwa hii rasimu.Hata ikija,kwa kiasi kikubwa itakuwa ni ile inayoiongezea
nguvu zaidi CCM.Maana wao wamejaa sana mjengoni kwa Sasa.
Kwasasa jaribuni kusahu,kama mlivyoambiwa.
Anaweza kukubali huo mchakato ukaanza maana yeye hana sana sababu za kutufanyia ukatili wakati yeye akimaliza uongozi wake anarudi zake zenji kutafuna bata wake.sss
Hakika mfano tumeanza kuuona kwa huyu mama yetuMarais wengi wastaafu zanzibar wanapenda kuishi DAR , Ukiacha Mzee Salmin ambaye hali yake kasharudisha mpira kwa kipa , Mama yeye alikuwa kashajipanga kuishi Zake Mbweni Beach .....uzuri wa viongozi kutoka Zanzibar wengi huwa hawana makuu sana ...
Justice delayed is justice deniedWanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.
Nini maoni yako?
WanaJukwaa,

JK huyo huyo ndo alie itupilia mbali katiba. Na akatoa hata maneno ya kejeli kwa tume alokuwa kaiteua mwenyewe. Kumsingizia Magufuli ni uonezi mkubwa. Chama kiliikataa katiba toka Kikwete akiwa madarakani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.Aliyekuwa na nia njema na nchi hii kuhusu katiba mpya alikuwa JK basi, huyo mwingine ni legacy ya Magu tu CCM ni ileile
Yule Mvuta bhangi alikuwa mwizi ,tamaaa lakini mshamba hajui vitu vizuri .....kwao kajenga msururu wa majumba ya kishamba kama yale ya masamaki ...wa TRA .Hakika mfano tumeanza kuuona kwa huyu mama yetu
Tumuache rais atekeleze ilani ya chama kwanza. Mambo ya katiba yatafuata baadae kwani kilichobaki ni kura ya maoni tu. Bunge la katiba lilishamaliza kazi yake zamani.WanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.
Nini maoni yako?
JK huyo huyo ndo alie itupilia mbali katiba. Na akatoa hata maneno ya kejeli kwa tume alokuwa kaiteua mwenyewe. Kumsingizia Magufuli ni uonezi mkubwa. Chama kiliikataa katiba toka kikwete akiwa madarakani yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Tusipindishe Historia.