Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
"Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
🤑🤑"Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Read between the line."Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
"Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Waajiri hao ndio waliomwezesha kuuza bandari zetu; huku akiwadharau na kuwaambia yeye ni "Chura Kiziwi"?Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Wewe utakuwa ni 'candidate' mzuri wa kutekwa!Nisiingizwe kwenye hilo kundi la mwajiri wake.
Hivi hakutoa shukrani kwa hilo; hakusema chochote?Nani alimwajiri huyu mzanzibari? Samia inampasa kushukuru kifo cha Magufuli. Kifo cha Magufuli imekuwa neema kwake.
Halafu unawateka waajiri wako, unawabaka na kuwalawiti na baadaye kuwaua. Duuh una moyo wa ajabu sana wewe Samia."Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Unampomchagua mgombea urais automatically unamchagua na mgombea mwenza wake. Hivyo achana na hizo wishful thinking.Aliye muajiri huyu nani, hebu tuache unafki huyu akuchaguliwa alirithi kama raisi wa mpito,