PreGE2025 Rais Samia: Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya

PreGE2025 Rais Samia: Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hivi kuna mtanganyika anaweza kuhutubia bunge la zanzibar
 
Mimi nina hakika CCM hatuwezi kuhalalisha uchaguzi Mkuu kwa kutumia CHAUMA na ACT Wazalendo.

Jumuiya za ndani ya nchi na za kimataifa zinakitambua CHADEMA kuwa ndiyo Chama kikuu Cha upinzani.

Jumuiya hizo pia zinatambua kuwa taratibu za uchaguzi haziko sawa.

Ikumbukwe kuwa Magufuli,pamoja na ubabe wake,lakini alihakikisha Chadema kinashiriki uchaguzi Mkuu.Hii ni kwa sababu katika nchi yoyote jambo linaloangaliwa kwa unzito mkubwa na wananchi na Jumuiya za kimataifa ni uchaguzi Mkuu.

Tujiulize kama nchi tunaweza kumudu uchaguzi utakaogharimu fedha yote halafu ustambuliwe na Watanzania walio wengi na Jumuiya ya kimataifa.Ni sawa na kupanda shamba kubwa na usivune chochote.

Madhara yake ni kutengwa na Jumuiya ya kimataifa,kukosa uwekezaji,kukosa misaada na mikopo.Hatuwezi kumudu kujiendesha bila misaada au mikopo.
Mapato yetu bado yako chini mno.
 
Huyu kweli bogus anashindwa kutofautisha kati ya kuajiriwa na urais wampito (Rais wa kambo, Rais wa bahati mbaya).

Itoshe kusema kwamba mama hajatufikia kawafikia kina mwashambwa tu
Tembea huko mikoani uone yanayofanyika, ukijificha nyuma ya keyboard siku zote utaona mabaya tu.
 
Unampomchagua mgombea urais automatically unamchagua na mgombea mwenza wake. Hivyo achana na hizo wishful thinking.
Ni sawa na ambavyo Dr Nchimbi anakuwa makamu kuanzia baada ya uchaguzi mkuu, Samia akikata moto Nchimbi anakuwa mngoni wa kwanza kuingia ikulu.
 
Back
Top Bottom