PreGE2025 Rais Samia: Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
"Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Your browser is not able to display this video.
 
Pongezi KWAKO pia madam president👍
You are doing great, hasa kiuchumi🙏
 
Aliye muajiri huyu nani, hebu tuache unafki huyu akuchaguliwa alirithi kama raisi wa mpito,
 
Duh kumbe kuna Watanzania wenzetu ndio chanzo cha "YOTE HAYA",?
 
I didn't sign death warranty for the demised for her to become madame abductor.
 
Niwashukuru waajiri wangu Watanzania, hakika wao ndio hamasa na chachu ya mimi kufanya yote haya".Rais Samia Suluhu Hassan
Waajiri hao ndio waliomwezesha kuuza bandari zetu; huku akiwadharau na kuwaambia yeye ni "Chura Kiziwi"?
Huyu anazo akili timamu kweli? Hata uigizaji hauwezi kuruhusu ulaghai wa aina hii.
 
Nani alimwajiri huyu mzanzibari? Samia inampasa kushukuru kifo cha Magufuli. Kifo cha Magufuli imekuwa neema kwake.
Hivi hakutoa shukrani kwa hilo; hakusema chochote?
 
Tulimpenda sana tukajua tumepata mfariji baada ya yule sakatrik Sasa yaliyotokea baadae kuna watu aidha wamemharibia au kajiharibia ila kwakuwa anaendelea kuwasifu watekaji it means wana endorsement yake. Kwasasa walio wengi wanamkumbuka sakatrik kuwa alikuwa Bora kuliko yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…