Rais Samia: Nyinyi ni mashahidi Mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa, zimeendelea

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki

"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni mashahidi kwamba mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa. Zimeendelea kwa kiasi kikubwa sana katika miaka hii ya karibuni.

Kwa hiyo sasa, ni kuongeza watu wenye dhamira ya kufanya kazi, wenye uwezo wa kufanya kazi, lakini wanaosimama kwenye mstari mzuri wa haki."-Amesema Rais Samia

Na kweli zimebadilika sana! Maana zimebadilika na kuwa idara za serikali, na hivyo kushindwa kufanya maamuzi yoyote mpaka zipate maelekezo toka serikalini. Ni mahakama jina tu.
Mahakama zinatakiwa kuwa huru, siyo kuwa idara za Serikali. Kada mzoefu wa CCM aliyewahi kuwa kiongozi wa CCM, Rostam alisema wazi kuwa hakuna mwekezaji wa nje anayeweza kukubali mgogoro uamriwe na mahakama za TZ ambazo hazifanyi maamuzi mpaka zipate maelekezo toka serikalini. Ina maana hatuna mahakama, bali tuna mahakama bandia.
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki

"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni mashahidi kwamba mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa. Zimeendelea kwa kiasi kikubwa sana katika miaka hii ya karibuni.

Kwa hiyo sasa, ni kuongeza watu wenye dhamira ya kufanya kazi, wenye uwezo wa kufanya kazi, lakini wanaosimama kwenye mstari mzuri wa haki."-Amesema Rais Samia
Screenshot_20251219-132538~2.png
 
Hizi mahakama ambazo walijenga vibanda vya chips ndani heti kisa kuficha mashaidi wa siri kwenye kesi ya Lissu au mahakama gani ?
 
Ni kweli kabisa zinebadilika na kuwa auxiliary ya chama cha majambazi
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki

"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni mashahidi kwamba mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa. Zimeendelea kwa kiasi kikubwa sana katika miaka hii ya karibuni.

Kwa hiyo sasa, ni kuongeza watu wenye dhamira ya kufanya kazi, wenye uwezo wa kufanya kazi, lakini wanaosimama kwenye mstari mzuri wa haki."-Amesema Rais Samia
Huyu BIBI ndio TAFSIRI HALISI ya UNAFIKI

Anaposema A ujue anamaanisha B.

  • KAZI na UTU
  • Haki JINAI
  • TUME HURU YA UCHAGUZI
  • 4R
  • Sijawahi KUUA hata MBU

Kama mtu hajui SHETANI anafananaje, ni HUYU BIBI.
 
From bad to worse
 
Hivi hawa viumbe wanatuona sisi wananchi ni vikatuni?
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki

"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni mashahidi kwamba mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa. Zimeendelea kwa kiasi kikubwa sana katika miaka hii ya karibuni.

Kwa hiyo sasa, ni kuongeza watu wenye dhamira ya kufanya kazi, wenye uwezo wa kufanya kazi, lakini wanaosimama kwenye mstari mzuri wa haki."-Amesema Rais Samia
 
Kasema ukweli kabisa.mahakama zimebadilika kutoka utaratibu wa kutenda haki kwenda kupindisha haki ili kumfurahisha rais hata kama ni upuuzi mtupu
 
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassana akiapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani aliowateua leo Mei 26, 2026, amesema Serikali itaendelea kuchukua hatua kuimarisha uwezo wa Mahakama za Tanzania ili kusimamia ufanisi wa utoaji haki

"Tumefanya mengine mengi na nyinyi ni mashahidi kwamba mahakama zimebadilika kwa kiasi kikubwa. Zimeendelea kwa kiasi kikubwa sana katika miaka hii ya karibuni.

Kwa hiyo sasa, ni kuongeza watu wenye dhamira ya kufanya kazi, wenye uwezo wa kufanya kazi, lakini wanaosimama kwenye mstari mzuri wa haki."-Amesema Rais Samia
Mwenyezi Mungu ambariki sana Dr Samia Suluhu Hassan,

kwa hakika Tanzania tumepata Rais mwenye uwezo, mchapakazi, lakini pia mwenye maono ya mbali sana juu ya mustakabali mwema wa Taifa letu.

Well done Dr Samia Suluhu Hassan 🔥
 
Allah Dr. , Excellency Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan.

Hata chooni haendi
 
For sure,
Dr Samia Suluhu Hassan anaupiga mwingi sana kwenye sekta ya mahakama,

In fact,
Dr Samia Suluhu Hassan ni champion wa mabadiliko ya kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini gentleman 🐒
 
Zimebadilika sana na sasa zimekuwa ni muhimili wa serikali. Maagizo yanatokea JUU.
 
Mashahidi wako wapi?, kwanini wasiitwe watu randomly wa mitaani kutoa huo ushahidi kuwa mahakama zinatenda Haki...Tunataka tusikie Haki imetendeka kutoka Kwa wanaotendewa hiyo Haki na siyo mtenda Haki, hapo patakuwa uongo.
 
Back
Top Bottom