Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Nchi hii Ina watumishi zaidi ya 500,000/- unategemea wote wawe na fikra sawa??Unamlaum Rais tu ila kuna janga linaitwa TUCTA! Pia watumishi wenyew hawajitambui!! Kweny makongamano ya ku praise na worshiping wamejaa na sare zao!!
Serikali inayojali watu wake ingerekebisha hata huo ujinga wa
Ishu ya maslah wala haihitaj fikra! Maana hakuna mtumishi asietaka maslah zaid!!!Nchi hii Ina watumishi zaidi ya 500,000/- unategemea wote wawe na fikra sawa??
Inategeme
Inategemea anafanya kazi na ana majukumu gani ya kifamilia. Hivi unajua kima Cha chini Cha mfanyajazi wa umma ni sh. Ngapi. We acha tu. Wafanyakazi kazi wanayo.
Wewe ni mjinga na haupo informed. Serikali ina lengo zuri sana la kuhakikisha wastaafu wanakuwa anagalu na kitu fulani cha kupokea kila mwezi. Hiyo 33% inatosha kabisa kikubwa ni kuwa na plan nzuri. Hivyo msimsubue Rais Samia na uzushi wenu.Mheshimiwa Rais.
Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu.
Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi.
Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii 33% lumpsum unayotoa kupitia kikotowo, haitoshi, haikidhi, na ni dhulma kubwa mno kwa mfanyakazi.
Ndugu Rais, Jasho la mtu halipaswi kupangiwa masharti magumu. Haiwezekani Mfanyakazi afanye kazi miaka 30 au 35 kisha aje akutane na vijisent vya milioni 50 kama mafao ya kustaafu. Hivi ni vihela vidogo sana na siku hizi havitoshi hata kununua kiwanja na hapohapo kujenga nyumba ya vyumba vitatu.
Ndugu Rais, Hicho chama unachokiongoza kina alama ya jembe na nyundo. Nyundo ikiwakilisha wafanyakazi. Haiwezekani serikali unayoiongoza ikawa ni ya kuwagandamiza wafanyakazi.
Juzi hapa mbunge Heche kaeleza jinsi Wabunge wanavyopata lumpsum ya milioni 272 kwa kazi ya miaka Mitano. Wewe Rais hukatwi kodi katika mshahara wako na Ukistaafu unaendelea kupata 80% ya mshahara wa rais aliyeko madarakani na bado unaenda kupata mabenefit kibao ikiwemo kujengewa nyumba na Pensheni.
Rais hebu Muogope Mungu. Wafikirie watu wa chini. Kikokowa cha 33% ni dhulma kubwa, iondoe mara moja.
Wako katika ujenzi wa Taifa
Missile of the Nation
Watu wazima hawapangiwi pesa yao waitumieje.Wewe ni mjinga na haupo informed. Serikali ina lengo zuri sana la kuhakikisha wastaafu wanakuwa anagalu na kitu fulani cha kupokea kila mwezi. Hiyo 33% inatosha kabisa kikubwa ni kuwa na plan nzuri. Hivyo msimsubue Rais Samia na uzushi wenu.
Hii ndiyo dawa,labda watashtuka..Waende mahakamani wapinge sheria Kama hizi,ila kwa kuongea bila kufanya vitendo kwa serikali hii wataendelea kuumizwa tu ..
Sent from my CPH2083 using JamiiForums mobile app
Kilianza enzi zakeMagufuli alielekeza ianze tumika 2023
kwani mmeshawahi pokea malalamiko ya watu kumaliza hela zao mapema au mnawakadiria tu?Unadhani watu wote wanaweza kufanya biashara?hivi watu wangapi wanapoteza mafao yao sasa assume wapewe asilimia 100 halafu wapoteze ni bora hata kuwapa 50%, 50% itoke kama pensheni.
Naungana na tucta kikokotoo hakina shida , tatizo ni elimu tuu haijatolewa vizuri hivyo watu hawajui loloteNimeshituka kuona kuwa TUCTA imeridhia na kuwaambia wafanyakazi eti mjadala umefungwa! Pamoja na kuwa TUCTA ni tawi la CCM lakini wafanyakazi wanayo haki kujadili maslahi yao hata kama TUCTA na CCM hawatawasikiliza.
Hivyo Tucta haioni umuhimu wa wahusika kujua! Mfanyakazi anapofanya kazi kwa miaka 20 kisha unasema alipwe miaka 14 tu huo ni unyang'anyi, hata unielimishe vipi sitaelewa.Naungana na tucta kikokotoo hakina shida , tatizo ni elimu tuu haijatolewa vizuri hivyo watu hawajui lolote
Ilisha badilishwa hiyoHivyo Tucta haioni umuhimu wa wahusika kujua! Mfanyakazi anapofanya kazi kwa miaka 20 kisha unasema alipwe miaka 14 tu huo ni unyang'anyi, hata unielimishe vipi sitaelewa.