Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

Na wao kwanini wawatake watu wenye division 4 pekee wakati wa division 1 na 2 na 3 wapo wengi?
Wa hizo division wengi wanakuwa wameshachagua kada nyingine, kama ualimu, unesi, udaktari n.k.
 
Maza kasoma mchezo juu ya kesi ya Mbowe inapoelekea, 'katonywa' .
Kuna watu watakuwa fired mda si mrefu wewe subiri 🤣 🤣 🤣 ,Wamemdanganya Rais kwa maslahi yao binafsi,Kesi ya Mbowe kwa washauri wenye akili haikupaswa kufika hapo ilipo
 
Ni vyema kabla ya kuhukumu ungesikiliza hotuba yote, huyu John yeye kachomoa kakipande kadogo sana katika hili, Rais kaongea kirefu zaidi, nimemsikiliza mwanzo mwisho, ingia you tube ya tbc kuna hiyo hotuba yote, then utacomment ukiwa full informed
Sisi tuna comment kilichowekwa hapa na sio kingine.
Mambo ya kuwaambia polisi wajiangalie ni upuuzi haswa. Wanatakiwa kukemewa na kuchukuliwa hatua...kesi zipo, malalamiko yapo.

Hakuna rais humo...bellow average
 
Ni lazima tukubali kama 90% ya jeshi letu la police na la ulinzi wakosa elimu, wakosa malezi, wahuni, wavuta bangi na majambazi yaliyojificha ndani ya uniform.
Hata ukiwaona wanavyo behave hata kwenye public huwezi kupingana na hoja yangu.
Utaalamu mwingine walionao polisi ni kunyoa pank kichwani,ndo mambo wanayoyaweza
 
Suluhisho: Katiba Mpya ambayo itarekebisha sheria na taratibu zote zilizopinda kwa kuwa katiba ndiyo shina la sheria zote.
 
Jeshi la Polisi limejaa wahuni wengi waliokuwa Green Guard, ambao hawana mafunzo, sifa wala weledi kwa kazi nyeti ya upolisi.
Wakati nasoma shule zile njemba zilizokuwa zinashinda mstuni na kushika mikia darasani wengi walikuwa wanasema wataenda japo upolisi. Sijui kama walishaingia huko? may be ndio sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…