Rais Samia: Polisi komesheni rushwa, natumiwa ‘clip’ za Barabarani nami namrushia IGP

Rais Samia: Polisi komesheni rushwa, natumiwa ‘clip’ za Barabarani nami namrushia IGP

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki sherehe ya Kufunga Kozi ya Maafisa na Wakaguzi wa Jeshi la Polisi Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es salaam, leo tarehe 9 Juni, 2025.
 
HAWA WATU BILA SHAKA WANAAMINI WANAONGOZA VIPOFU......
Yaan wanafikir ma B ya viongoz wao wanao⚔️ watu hawayajui.,...wanakomalia zile 2k za trfk waliochoka road
 
Anachoweza ni mipasho tuu lakini maamuzi hamna lolote la maana kila akifungua mdomo kuongea ndio utajua kichwa chake kina ombwe kubwa kiasi gani, raisi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
 
Anachoweza ni mipasho tuu lakini maamuzi hamna lolote la maana kila akifungua mdomo kuongea ndio utajua kichwa chake kina ombwe kubwa kiasi gani, raisi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
"nendeni mkashughulikie" "hili nalo mkalitazame"
 
Njaa ndiyo inawafanya mtu amevaa crauni kwenye kofia yake lakini anapokea rushwa ya buku akiwa barabara wakati analipwa mshahara na posho ya chakula.
 
Hapa kuna contradictions.... Kule tulisema kula kwa urefu wa kamba huku tunalaumu
Ndio maana wengine wanamuita taahira! Anazungumzia rushwa ndogo ndogo za polisi traffic lakini rushwa za mabilioni zake na mwanae Abduli na mkwewe Mchengerwa anaona sio rushwa ; anafikiri watu wajinga Hawazijui!
Huyu bibi ni adimu kulaani mambo ya ushoga, rushwa na utekaji kwani yanamuhusu!
 
Back
Top Bottom