Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Thats why i hate politikMama anatuchanganya si alisema "kila mmoja ale urefu wa kamba"??? Na akaongezea "tule ila tusivimbiwe" ??
Kuna chakula nlikua nshakivuta hapa kwa urefu wangu, sasa nikikule au nirudishe....😁 Confused!Thats why i hate politik
HahahahahaaaaKuna chakula nlikua nshakivuta hapa kwa urefu wangu, sasa nikikule au nirudishe....😁 Confused!
"nendeni mkashughulikie" "hili nalo mkalitazame"Anachoweza ni mipasho tuu lakini maamuzi hamna lolote la maana kila akifungua mdomo kuongea ndio utajua kichwa chake kina ombwe kubwa kiasi gani, raisi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea
Ndio maana wengine wanamuita taahira! Anazungumzia rushwa ndogo ndogo za polisi traffic lakini rushwa za mabilioni zake na mwanae Abduli na mkwewe Mchengerwa anaona sio rushwa ; anafikiri watu wajinga Hawazijui!Hapa kuna contradictions.... Kule tulisema kula kwa urefu wa kamba huku tunalaumu