Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Kuolewa mapema hakuwezi kumzuwia mtu kusoma tatzo lako umekaririshw kwamba ukiolewa ndio basi tena kama mtu anaolewa na akaendelea na kufanya biashara yake ya mama nitilie sokoni au kuuza duka anashindwa je mtu kama huyo kutoweza kusoma hapo msingi ni kutengeneza mfumo ambao mtu alieolew hauwezi mbana majukumu ya familia na ndoa tembea uone Msumbiji tu hapo mtu anatoka nyumbani na mimba au na mtoto mgongoni anaenda shule na anafanya vzr darasani tu je hakuna wasomi wa kike
Nchi kama saudia unatak kunambia hakuna wasomi wa kike kwa vile wanaolewa mapema
Mm sioni tofauti kusoma na kutafuta maisha sokoni kama mwanamke alieolew anaweza kwenda dukani kwake kuuza akiwa na ndoa yake hawezi shindwa kwenda shule na kusom
Shida mumejaririshw na elimu za kimagharibi kiasi kwamba uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo huwazi nje ya mawaz ya mzungu namkubali sana jpm

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo umekariri kuwa nje ya mawazo ya mwarabu basi ni mawazo ya mzungu, unasahau kuna mawazo ya mswahili aliye huru kifikra kama mimi mwenye watoto wa kike wanaofanikiwa na wanafanikiwa sababu baba yao nilifanya maamuzi sahihi kuwalea na kuwakuza wakaelewa wanatakiwa kufanya nini ili wasikiuke tamaduni za familia na ukoo wangu.

Wewe wa kwako peleka waolewe na miaka 12 ila si hapa Tanganyika maana tutakufunga wewe na muoaji tukikupata.
 
Tamaduni hazifanani ndugu ww tamaduni zako na malezi yako huwezi fananisha na tamaduni zangu na malezi yangu kuanzia niliolelewa na kinatokea bint zangu wew ndio umekariri tu kuwa waarabu ndio wenye tamaduni hizo lakini tembea ndugu hapahpa Africa uone tamaduni na taratibu za nchi zingine nje ya nchi yako hi
Tatzo wa tz exposure hamna ndio maana mmekuwa wajinga ndio maana mnanyimwa paspoti wanaogopa mkienda nje mtaona ustaarabu wa jamii zingine bora

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma na nimekuelewa sana mkuu...una point kuntu kabisa natamani sana serikali ingekusoma hapa hasa kwenye muziki ila hapo pa kuolewa hapana aisee
 
Unataka kusema mabinti zako kuanzia kusomesha mpaka wanapata kazi bado wako ni bikra na Kam wanakuwa Ivo ongera kwa malezi mazuri
Maana mabinti wengi wakifika chuo ndio wanaongoza kumeza P2 na kutoa mimba tena na kujirahisisha kwa wahadhiri wawakaze kwa vile wanajua hapa nipambane nimalize chuo kama alivonileta mzazi bla kuangalia je naishi katika maadili yepi
Kwa ufahamu wangu mabinti wengi ambao nimesoma nao chuo wakiwa wameolewa wako vizuri kimaadili na darasani kuliko hao watoto wenu mnaowalazimisha hapa wew bado ujakuwa WAKT anatoa mimba kila daily

Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hili la kuolewa na umri mdogo naona mkuu umechemka,umeshawahi kufuatilia mabinti wa kimasai ambao wana hiyo mila?kabinti kakifika tu 12 au 13 kanaoelewa,sasa fanya reseach utakuja kuniambia hapa,vingi vikipata ujauzito ngoma ipo kwenye kujifungua,vingi kwakuwa vinakuwa havijatanuka pelvic girdles kiasi cha kutosha vinaishia kushindwa kuzaa,kupoteza damu nyingi na mwishoe kufa,ni wachache wanaowahishwa hopitali ndio wanafanikiwa kuzaa salama...
 
Mtoa mada nakupa kongole sana

NIngependa nigusie kwenye mziki,ni kweli kabisa mziki Una nafasi kubwa Sana katika kuelimisha au kupotosha jamii yetu,kama nyimbo ya ferooz nakumbuka ulikuwa ukiisikiliza lazima dishi likae Sawa kwasababu unakumbuka hatar ambayo iko mbele yako.

Binafsi huwa najiuliza hii mizikI ya siku hizi je inaelekea wapi? Mara nyingi huwa naisikiliza katika daladala coz si msikilizaji WA nyimbo hizo na sehemu pekee ambayo hukutana nayo ni huko, yaani zinahamasisha ngono Tu basi,mashairi ya ajabu Tu,huwa najiuliza hivi watu huwa wanasikilizaje hiyo miziki na familia zao,binafsi Tu huwa naona aibu kuisikiliza pale ndani ya dala dala.

anyways inabidi tuanze kujitafaKari sasa kama jamii je tunaelekea wapi?
 
Masuala ya bikra ya binti zangu baada ya kupata elimu si suala langu, ni suala lao, mm na mama yao ni waalimu.

Kwani cheti chako cha elimu ya drs la saba walimu wako wana kazi nacho? Ww ndo unakitumia kulingana na uamuzi wako waalimu wameshamaliza kukupa hiyo elimu.
 
Nakazia
 
Ok sawa sawa
 

Inasikitisha sana mkuu yani sijui tunajenga jamii ya namna gani
 
Kuna ile amapiano unakuta inapulizwa filimbi🐒
 
Kama hao wasanii kwenye kampeni anakuwa nao atawazuiaje sasa
Wakiimba wakina ney wa mitego basata wqnafungia nyimbo mapema ila hawa nmpakia mkongo na kalia chupa wawe free kutoa nyimbo zao
 
Nilichofurahi ni kwamba Tanzania bado kuna watu wana akili
Mkuu wazo lako hasa kuhusu mziki nakuunga mkono asilimia mia sasa hivi Bongo hakuna cha hip hop wala wabana pua wote wanaimba ushuzi mtupu
zamani hip hop bongo ilikuwa na content lakini hiki kizazi cha akina Young Lunya wanadai eti wanaenda na wakati lakini kumbe ndio wanaharibu mazima

N.B kwa kizazi hiki kumtoa ConBoi Cannabino jamaa haimbi ushuzi aisee ni content tupu ila hawa wengine dah
 
Regardless of JF being populated by low minded people. You have retained the real meaning of Home of Great Thinkers. Moderator , kwanini huyu jamaa asiwe platinum member?
 
Regardless of JF being populated by low minded people. You have retained the real meaning of Home of Great Thinkers. Moderator , kwanini huyu jamaa asiwe platinum member?
Wabeja sana mwanawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…