Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Watu malaya malaya utawajua tu kwa mawazo yao, yaani binti aolewe akiwa na miaka 14 kisa kavunja ungo! Huyo binti anaweza kuhimili maisha ya ndoa?

Mawazo hovyo kabisa!
 
Ona zwazwa hili!! Toa ushamba wako wa kusukuma hapa.
 
Uzi wako hakika uko poa sana, shaka yangu ni kama utapata wachangiaji.

Maana ushetani(ushoga, taarifa za vifo na mauaji, ulawiti,na mzahamzaha) ndivyo watanzania hupenda kushabikia. Ni mtazamo wangu kutokana na ninavyoona hapa JF!
Ni maoni yake, ila naomba kuuliza tu mtazamo wake kuhusu elimu ya huyo mtoto wa kike, je elimu yake itakuwa imeishia hapo akibalehe?
 
Fafanua vzr mfumo wa elimu utakavyoendeshwa kwa hao wake za watu
 
Hivi mnajua hii sio Nchi ya Kifalme Rais kutoa hayo maamuzi willy-nilly ?!!!!

Eti Piga Marufuku !!!!
 
Wewe uliyekaririshwa elimu ya madrasa umelisaidia nini taifa hili.??

Kila nchi na mipango yake..kama vipi beba familia yako mhamie huko saudia mkaolewe mkiwa na miaka 12...huku mkiendelea na masomo.
Absurd

#MaendeleoHayanaChama
 
Alitazame na hili
Huyo Sheikh Mohamed Yusuf jina lake la asili ni nani km alitaka wanaijeria warudi kwenye asili yao?
Anaua ndugu zake utafikiri yeye ni muarabu kumbe na yeye ni mwafrika.
Kwanini usimwambie huyo mama wataalamu wake waingie maabara?
N.B
Ujinga wa mwafrika anataka kuishi km miaka 1760 wakati ni mwaka 2000. Hapa mwafrika anatamani internet isiwepo muziki usiwepo yaani arudi km enzi za mawe.
 
Nyimbo za kupigwa marufuku ni singeli , vigoma vile vya chura,vibao kata .Kuanzia ijumaa mpaka j.pili ukifika maeneo ya buza,gongo la mboto,mbagala,temeke ni Kama umeingia dunia nyingine sio watoto sio wakubwa ni shida tupu.
Hii nchi masikini sana ndiyo maana kuna mambo km hayo. Watu hawana kazi wafanyaje?
Kazi zikiwepo hautaona mtu anahangaika na hayo mambo.
 
Wazo lako ni zuri sana mkuu. Ujumbe umetulia. Ila Hilo la kijana miaka 11 aolewe au kuoa mmmh hapo tutatengeneza mabomu makubwa. Wote akili hazijakomaa Bado. Na kwa mwanamke yupo ktk hatari kubwa sn ya kifo au kifo cha mtoto wkt wa kujifungua. Au apate fistula.
 
Turekebishe ktk familia ,maana mtoto makuzi ya akili,mwili na roho hujengwa toka nyumbani kwa wazazi,,,,,,,,,baadhi ya wazazi ndo chanzo cha mmomonyoko wa maadili,pia wazazi wapunguze kulea watoto km mayai,wafkrie enzi zao wao walilelewa ivyo......?
utandawazi so mbaya ila tunautumia vibaya ndo maana tunakizazi cha baadhi ya vijana wa hovyo miaka ya mbeleni,wasiokuwa na msaada kwa taifa miaka ijayo.
 
Binti aolewe na aendelee na shule.
 
Watz ni akili ndogo walio wengi.
 
Unawajua wasukuma wewe?.Tena vibinti vidogo vinajifungulia nyumbani kabisa na siyo hospitali.
 
Watu malaya malaya utawajua tu kwa mawazo yao, yaani binti aolewe akiwa na miaka 14 kisa kavunja ungo! Huyo binti anaweza kuhimili maisha ya ndoa?

Mawazo hovyo kabisa!
Wasukuma wanapoweza himili,wao huwa si binadamu?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…