Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Tatizo siku hizi malaya ndo wanaitwa wasanii, eti akina Diamond ndo anaitwa kioo cha jamii. Kimsingi nchi hii hata viongozi hawana maadili juu mpaka chini, huwezi kuongozana na akina msaga sumu unaenda kwa watu wenye akili zao ni udhalilishaji mkubwa sana
 
Mabweni ni darasa hata ionekane ni lazima mwanafunzi kuishi bweni?.Mimi nilishaoa kitambo sana kibinti kibichi kabisa na kilikaa chini ya uangalizi wa wazazi wangu na sasa ni mama na mke bora hasa.
Ukpata binti yako wa Kitanzania ukimuoza akiwa chini ya miaka 18 ufanyie huo muungano mapangoni otherwise na ww unaozeshwa kwa nyapara.
 
Kubwa sana.Vp hicho kibinti cha miaka hiyo 12 kutintuliwa hovyohovyo kikiwa shule ndiyo ndiyo akili?.
Huo ni uzaifu wako mzazi na umalaya wa watu wazima na ni kinyume cha sheria. Kama ni tabia yako ACHA.
 
Ukpata binti yako wa Kitanzania ukimuoza akiwa chini ya miaka 18 ufanyie huo muungano mapangoni otherwise na ww unaozeshwa kwa nyapara.
Nyapara ndiyo ntamgeuza mke.
Mada imeshauri sheria zilekebishwe,wewe unatoa maoni utafikiri uelewi nini maana ya ushauri.
 
Jamani mmesikia wimbo wa kondeboy just now kuhusu bange ni upuuzi wa kiwango cha lami
 
Huo ni uzaifu wako mzazi na umalaya wa watu wazima na ni kinyume cha sheria. Kama ni tabia yako ACHA.
Vitoto vyenyewe vya siku hizi vipo kasi mbaya.Kibinti unakikuta kinajichukua video kikijitia mswaki kunako[emoji848][emoji848][emoji848]
tena kikiwa bado hata kuvunja ungo.Acha watu wavipasue na kuvipa AIDS.
 
Sioni sababu ya kumtusi mtoa mada japo inaonyesha utakuwa umezaliwa hii miaka ya 2000. Maadili yameshuka offcoz changes zinahitajika period
 
Vitoto vyenyewe vya siku hizi vipo kasi mbaya.Kibinti unakikuta kinajichukua video kikijitia mswaki kunako[emoji848][emoji848][emoji848]
tena kikiwa bado hata kuvunja ungo.Acha watu wavipasue na kuvipa AIDS.
Inaonekana ww ni mharibifu. Ni vile tupo kwenye fake id ila pona yako ingekuwa ni kama una nguvu kubwa ya ushwawishi kisiasa, ungejifunza kuwalinda watoto ndani ya muda mfupi sana na ungekuwa balozi wa watoto na adui ya wanaowatamani na kuwafanyia ufedhuli mabinti wadogo wa Tanzania.
 
Kazi kubwa ipo uswahilini.
Ya kuratibu na kusimamia aina ya nyimbo nakuunga mkono. Suala la ndoa kwa kweli hapana. Zama zinabadilika, kikubwa uwekwe mkazo wa elimu rafiki ya afya kwa vijana watambue thamani yao kama vijana, haki na wajibu wa kulinda afya zao, na hatari zinazowakaribia kama vijana. Vijana wetu wengi hizi elimu hawana.
Hata leo ukimuuliza kijana zipi ni haki za msingi za kijana atabaki anajiumauma.
 
Baada ya Jana siku ya Ukimwi duniani ndio nilipogundua kua wanaougua VVU sio wagonjwa maana hospital hawaitwi wagonjwa wa VVU bali wanaitwa WATEJA, sasa kuna mzee leo alikua ananunua mboga mboga gengeni hapa mtaani akawa anamsisitiza mama anaeuza kua asimuite MTEJA yeye sio MTEJA 😂
 
Anataka uasili wa Afrika na bado anajiita sheikh. Ni upuuzi
Sheikh Mohamed Yusuf alitaka waafrika turudi katika uasili wetu, turuhusu nature I dictate maisha yetu. Nature is nothing but the will of God. The will of God to humans has been stamped in the nature. God talks to humans through nature

--"the same same Mungu tulioletewa na hao wakoloni au kuna mwingine"
 
Naongezea nyama kidogo. Kulingana na utafiti mdogo nilioufanya, nimebaini mabinti wengi walioolewa katika umri mdogo waliwapoteza watoto wao wa kwanza.
 
Sheria ya ndoa inaruhusu binti kuolewa kwa ridhaa ya wazazi wakifikia umri wa miaka 14 lakini Sheria ya mtoto, inasema yeyote mwenye umri chini ya miaka 18 huyo ni mtoto. ILA suala la ndoa kuzuiliwa kwa binti mwenye umri chini ya miaka 18 ni sababu za viatarushi vya kiafya hasa wakati wa kujifungua na uwezo wa umri huo kufanya maamuzi yaliyo sahihi.
Mafundisho yoyote ya dini tuyatafakari na kuyaangalia kwa makini tusiyakubali tukiwa tumeweka akili kwenye kapu.
 
Naongezea nyama kidogo. Kulingana na utafiti mdogo nilioufanya, nimebaini mabinti wengi walioolewa katika umri mdogo waliwapoteza watoto wao wa kwanza.
Na wengi wanajutia kuolewa na wanaume hao na ndoa hizo nyingi hazikudumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…