Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

Nimesikiliza wimbo wa juma nature unaitwa “ MSICHANA MTUNDU “ unafaa sana!
Nyimbo nyingi sasa hivi watunzi hawaogopi kutukana, kusifia zinaa, madawa ya kulevya, wizi lakini BASATA hawazifungii! Cha kushangaza akitokea msanii anakemea mabaya hufungiwa!
Naahauri kuwepo na BARAZA LA MAAMUZI YA MWISHO KUPITISHA NYIMBO baada ya BASATA! liundwe na wazee mmoja mmoja kutoka kila mkoa, walimu wahusishwe, viongozi wa dini wahusishwe! Serikali iwe mtangaza matokeo isijihusishe na kupiga kura Bali Iwe mtangaza matokeo!

Kuimba mapenzi sio lazima utaje makalio , au majina ya nyeti iwe kwa uwazi ama kwa mafumbo, imba mapenzi kufundisha kupenda na kukosoa sio sawa kuimba mapenzi kwa tunzi za kufundisha kufanya mapenzi tena na ulawati juu!

Somo la muziki hivi bado Lipo mashuleni!!?
 
Mkuu mada kama hzi unatakiwa kuandika ukiwa umejianda kisaikolojia
alafu ukishaipost unavaa miwani black
alafu unakaa kwa sofa,
alafu unakunja 4
 
Umeshiba kitu gani hoja zake ni za watu waliowaka tamaa za ngono.

Eti binti akivunja ungo aolewe..hivi anafahamu mabinti walio vunja ungo kweli..yani ni vitoto vidogo kweli.

#MaendeleoHayanaChama
Hapa nitakujibu hivi:-
1. Usiangalie hilo tu la kuolewa katika umri mdogo, yapo mengi mazuri kupitia uzi wake ambayo ukiyatafakari vema pasipo na kuipendelea nafsi yako utaona ni kweli uzi wake umeshiba.
Be neutral utamuelewa.

2. Msichana aliyevunja ungo ana uwezo wa kushika mimba.
Hii tafsiri yake ni kwamba mwili wake uko tayari kuzaa. Hakuna maana yenye mashiko unaposikia mimba za utotoni kwa kuwa hakuna mtoto anayeshika mimba. Isipokuwa kinachoangaliwa hapa labda ni ile body size ya mwenye mimba.

3. Kwa kutumia kigezo cha mimba za utotoni pamoja na harakati za kwamba huyu Angel anasoma, wasichana (wanawake) huolewa wakiwa na umri mkubwa (rejea maelezo ya mkuu Likud). Tunapiga marufuku ndoa za utotoni lakini wakati huohuo hawa wasichana wanafanya ngono haramu. Kipi bora wapate mimba za utotoni (wakati siyo watoto) wakiwa wameolewa au wapate mimba za utotoni au UKIMWI wakiwa wanadanga?

HITIMISHO.
Japo siyo kwa umuhimu, mnapokataza hizo mnazoita ndoa za utotoni mnasababisha tunakosa kuoa mabikira.
Muje munipopoe
 
Shida sasa ni hata rais mwenyewe anawasikiliza na wakati wa kampeni ndio hao hao anawatumia. So na yeye yupo katika kundi linalosapoti huo mziki wa hovyo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
 
We unaonaje mkuu?
 
Shida sasa ni hata rais mwenyewe anawasikiliza na wakati wa kampeni ndio hao hao anawatumia. So na yeye yupo katika kundi linalosapoti huo mziki wa hovyo.
Alitazame na hili
 
Nitakwenda tofauti na wewe juu ya uelewa wa sheria ya ndoa ya '71.

Sheria hiyo ni ya Taifa na si ya kiislam kama ulivyoeleza, bado haijafanyiwa marekebisho hadi leo.

Na kama sheria imebadilishwa nitaomba kuelimishwa juu ya jambo hilo.
 
Kuna uongozi wao aliyeoa Binti wa miaka 9
 
Bro kama ww unadhani amapiano ndo inasambaz ukimwi basi tengeneza Life style yako itakayokufavour
Yaan tupo kwenye maisha ya ajabu kabisa yaan mbaka afya yako unataka serikali inunue mafuta iweke kwenye magari ilipe posho watu wafanye PA
Yaan tupo kwenye jamii ya ajabu sana
 
siku hizi ukahaba ndio kazi ya wanawake walio wengi
 
uzi wako mzuli sana tatizo wausika wanangoja wazungu wesema punguzeni umri wa ndoa
 
watanzania hili ndio tatizo kubwa tulilo nalo mtu katoa mawazo yake mtazo wake wewe badala jege hoja kumpinga unakulupuka kama alie toka kuliwa kisha akanyimwa hela badalika chuki haiwezi kusaidia kwa lolote sheriya ya ndoa mpaka sasa ijaftwa chuki chuki chuki
 
tanzania nzima miziki inateketeza vijana hapa niko njombe kuna ukimiwi kama mchanga
 
hao watoto wa miaka 14 ndio wanao jiuza chunguza utaona wewe mtoto wa kike kaisha ota mavuzi na kutokwa damu bado huyo mtoto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…