mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,068
- 6,758
Pumba dot.comRais sasa ni Samia na siyo Magufuli tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumba dot.comRais sasa ni Samia na siyo Magufuli tena.
Kumbe Mukwano ni mtu, basi jamaa ana makampuni mengiWaambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..."
Pia waambie..." Tanzania ya sasa imejikita zaidi katika Kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Majirani zake tofauti na ile ya 25 Oktoba,2015 hadi 17 Machi,2021 iliyohatarisha mno huo Uhusiano..."
Mwisho waambie..." Tunawaomba Matajiri Wakubwa wa Uganda akina Mukwano na wengineo waje Kuwekeza Tanzania kwani tayari TRA chini yako wameshaambiwa waache Ukatili wao katika Ukusanyaji wa Kodi ambao walifanya Kipindi cha Mtangulizi wako... "
Ukimaliza mwambie Rais Museveni kuwa... " Unaomba ule Ujenzi wa Bomba la Mafuta sasa uanze mara Moja kwani zile Pesa zilizotengwa na Tanzania ambazo zikaelekezwa Kibinafsi kuijenga Chato zimerudishwa katika Bajeti hiyo ya Ujenzi huo Muhimu kwa Uchumi wa Tanzania na Uganda..."
Generalist nakutakia Safari njema Kesho huko nchini Uganda na Waganda waliposikia Kesho Jumapili tarehe 11 April 2021 unaenda Kwao ( kwa Ziara ya Kikazi ) wamekufurahia wakisema kuwa hata Sura yako inaonyesha Furaha, Upendo, Amani na Matumaini.
Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Uelewa wako katika masuala ya uchumi una walakini.Upuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
We ni mp.umb.avu wa kiwango cha juu mno
Sikuelewi
Huyo marehemu alikuwa anakutuma wewe uje unilishe.?
WAMAMA WADHAIFU SANA. MWAMBA FREEMAN MBOWE KUITISHA TU PRESS CONFERENCE KALA KONA UGANDA. MAMA USIOGOPE KABISA MBOWE MTUMIE SIYO ADUI.
Wasukuma wacheni noma zenuUjinga tu [emoji275]
Waambie hawa vibushuti wa akili.Kabla Hayati Dkt. Magufuli Umauti haujamkuta ilikuwa anatakiwa kwenda Kumaliza kwa mara ya mwisho Makubaliano ya Kuanza rasmi kwa Mradi wa Bomba la Mafuta.
Kwa bahati mbaya Rais Dkt. Magufuli Umauti ukamkuta ghafla. Je, asipoenda Rais wa sasa Mama Samia Suluhu Hassan unataka aende Bibi yako wa Nanjilinji?
Halafu ulivyo Mpumbavu ( Juha ) unasema hii Ziara haina Faida wakati Mradi ukianza tu utatoa Ajira za Moja kwa Moja kwa Watanzania 1000 na Vibarua 3000.
Je, Kwako Wewe hii siyo Faida ya hii Ziara kwa Uchumi wa Taifa letu la Tanzania na kwa Wananchi wengi wenye tatizo la Ajira Kupata Kipato? Swine!!
Kila Siku huwa niwaambieni hapa kama unajijua una IQ ndogo acha ( koma ) kabisa Kufungua na Kusoma ' Nyuzi ' zangu kwani kwa 100% huwa nazianzisha kwa ' Brainiacs ' Wenzangu tu na siyo Wapuuzi kama Wewe.
Huu Uzi ukiwa na Uhayawani ulionao unaweza kama ni wa Kijinga ila hapa nimewasilisha nadharia Kuu Tatu za Kifalsafa ambazo ukiwa na Akili fupi kama zako na za Wenzako baadhi hapa hutoweza Kuziona ( Kuzibaini ) pia.
Nikiwadharau hamna Akili msinichukie.
Uelewa wako katika masuala ya uchumi una walakini.
China inapiga hatua kwa sababu ya kufanya biashara zaidi na nchi maskini, ambazo nyingi zipo Afrika.
Ni jambo jema na uimalishaji bora wa mahusiano kama taifa unaweza kuanzia huko kisha na majirani zetu wengine mambo yakawa sawa
Waambie hawa vibushuti wa akili.
Kunywa sumu msukuma wwUjinga tu [emoji275]
Bomba la mafuta, anaenda kushuhudia utiaji saini mkatabaUpuuzi tupu Rais anapoteza hela za walipa kodi kwa kutembelea Uganda??! Really?? Uganda nchi maskini kuliko tz itatusaidia nini?? Hatuna Rais hapa
Hit imebadilika, ameiita PrognosticatorUjinga kama ule wa Gentamycine si ndio?
Kumbe Mukwano ni mtu, basi jamaa ana makampuni mengi
Hajui asemalo asamehewe bureKuna Mtu Mmoja hapa ambaye Ubongo wake umekaa Makalioni mwake anasema hii Ziara haina Faida Kwetu na kwamba Mheshimiwa Rais anapoteza Pesa za Walipa Kodi za Watanzania.
Ushuzi mtupu.....Waambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..."