Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

Kuna bomba la mafuta mle,tukiikosa hiyo deal tutakosa kipato cha maana

Ndugu unadhani Mpumbavu Mwandamizi kama huyo na Wenzake baadhi hapa katika huu Uzi watakuelewa na walikuwa wanalijua hilo?
 
Mbona umesahau kumuambie awaambie tutawaiga kwenye
Mbona umesahau kwamba awaambie tuko pamoja kwenye hatua za kuchukua kuhusu C-19 hatuwezi kujitenga?
 
Amuulize The President Museveni ni nini kilimkuta asije kwenye msiba wa swaiba yake.

Wakati ule amefariki Mwalimu tulimwona akipeleka malori ya maji ya kunywa na nyama pori kule Mwtongo. Au Ben hakumshukuru ndo kazira?

Baada ya hayo mpe salamu ikiwezekana mshauri apumzike sasa awaachie nchi vijana yeye awe mshauri tu.
 
Bonge la ushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…